Zijue nchi ambazo watu wake wamewahi kutamani kuongozwa na Rais John Pombe Magufuli kutokea Tanzania

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
Na Emmanuel J. Shilatu

1. Nchi ya Kenya mpaka kesho wanaonyesha hali ya juu sana ya kumkubali Rais Magufuli, Na wamekuwa wakituma ujumbe Mara kwa Mara kupitia ukurasa wa Rais wa Kenya Mr Uhuru Kenyatta, kuwa Magufuli njoo utuondolee ufisadi Kenya.

2. Nchi ya Colombia; Hii ni nchi maarufu sana Duniani. Mwana riadha Carles Valdez, ameandika Mara kwa Mara katika kurasa zake, kuwa "The African rising star from Africa, please join us ,help us with this triumph corruption in our country"

3. Napo Uganda kwa Mzee Mseven wametaka kuwa na Rais Magufuli, hawaijui Kiswahili vema, wanasema HIS EXCELLENCY JOHN POMBE MAGUFULI, NJOOO UTUNYOROOSHEEE, tunakutaka uku!

4. USA, ni vigumu sana kuamini kwamba watu wa USA wanafuatilia pia, mmoja kaandika kwenye ukurasa wa Twitter kuwa, "Trump you are John too but you don't deserve to be respected as John of Tanzania, welcome to USA we need a president of your caliber "

5. Bolivia ni nchi inayopatikana kusini mwa bara la America. Wakati wa mechi ya kirafiki Na Venezuela, ilionekana bango kwa mbali wakipinga rushwa inayoendelea nchini mwao, lilikuwa linasema " there is an emerging country in Africa with MAGUFULI. Our president don't be ashamed to get lecture from the guy"

7. Nepal mitaa ya kathmandul wananchi wameamdamana kutaka mitaa baadhi iitwe MAGUFULI, Na kusema wanataka Rais wao awe kama Magufuli.

8. Nchini Congo kwa kabila nyote ni mashahidi, wakati mkilia kule wanaomba Rais Magufuli aongoze,

9. Nchi ya Australia magazeti yanatoa maoni ya watu mbali mbali Na kusema wanashangaa kuna ka nchi uko Africa kana Rais ni hatari kabisa, wanatamani aongoze hata kule!

10. Madagascar kwa Waziri Mkuu Kelvin Ruud, nao walishawahi kuandamana mitaa ya Antananarivo kushinikiza Rais wao afuate mfumo wa uongozi Tanzania.

Watanzania yatupasa tutembee vifua mbele kwani tuna Rais Magufuli mwenye viwango, sifa, ubora na kipawa cha uongozi cha kitaifa na kimataifa. Najivunia Rais Magufuli.

*Shilatu E.J*
 
Aijuaye siri ya mtungi ni kata!Nadhani tukiwakodishia,wataturudishia baada ya saa 24!
Halafu mleta mada jiweke timamu kidogo,kwahiyo mwanariadha wa colombia akisema anamkubali JPM basi ni nchi inatamani itawaliwe na JPM!
Hizi akili zinapatikana lumumba tu!
 
Bila shaka... wewe ni mmojawapo wa watu ambao mmenyooshwa na huyu jamaa ndo maana huna hamu nae.
 
Nampongeza sana. Ametutoa mbaali sana. Ten years to come Tanzania inakuwa miongoni mwa nchi super Africa
 
Bila shaka... wewe ni mmojawapo wa watu ambao mmenyooshwa na huyu jamaa ndo maana huna hamu nae.
Msiba wa jirani ni wako pia!Kuna ndugu yangu alichukua mkopo kwa ajili ya matibabu ya mkewe,akitegemea pension ikitoka ataweza rejesha!Kilichomkuta ni lile fagio la chuma la vyeti feki,stahiki zake zote zimalambwa!Ndugu ndio tumejichangachanga kulipa deni!
 
hawajajua kuna katrilion ka moja na point tano mahali,lol
Hahahaaaaa,hawajui hayo!Kwanini nani anatangaza hizo habari mpaka wajue?
Ni kama TRA,siku wakikusanya vya kutosha,media na macamera!Ngoja wakusanye chini ya lengo,miezi inakata bila kusikia sauti yao!
 
Na Emmanuel J. Shilatu

1. Nchi ya Kenya mpaka kesho wanaonyesha hali ya juu sana ya kumkubali Rais Magufuli, Na wamekuwa wakituma ujumbe Mara kwa Mara kupitia ukurasa wa Rais wa Kenya Mr Uhuru Kenyatta, kuwa Magufuli njoo utuondolee ufisadi Kenya.

2. Nchi ya Colombia; Hii ni nchi maarufu sana Duniani. Mwana riadha Carles Valdez, ameandika Mara kwa Mara katika kurasa zake, kuwa "The African rising star from Africa, please join us ,help us with this triumph corruption in our country"

3. Napo Uganda kwa Mzee Mseven wametaka kuwa na Rais Magufuli, hawaijui Kiswahili vema, wanasema HIS EXCELLENCY JOHN POMBE MAGUFULI, NJOOO UTUNYOROOSHEEE, tunakutaka uku!

4. USA, ni vigumu sana kuamini kwamba watu wa USA wanafuatilia pia, mmoja kaandika kwenye ukurasa wa Twitter kuwa, "Trump you are John too but you don't deserve to be respected as John of Tanzania, welcome to USA we need a president of your caliber "

5. Bolivia ni nchi inayopatikana kusini mwa bara la America. Wakati wa mechi ya kirafiki Na Venezuela, ilionekana bango kwa mbali wakipinga rushwa inayoendelea nchini mwao, lilikuwa linasema " there is an emerging country in Africa with MAGUFULI. Our president don't be ashamed to get lecture from the guy"

7. Nepal mitaa ya kathmandul wananchi wameamdamana kutaka mitaa baadhi iitwe MAGUFULI, Na kusema wanataka Rais wao awe kama Magufuli.

8. Nchini Congo kwa kabila nyote ni mashahidi, wakati mkilia kule wanaomba Rais Magufuli aongoze,

9. Nchi ya Australia magazeti yanatoa maoni ya watu mbali mbali Na kusema wanashangaa kuna ka nchi uko Africa kana Rais ni hatari kabisa, wanatamani aongoze hata kule!

10. Madagascar kwa Waziri Mkuu Kelvin Ruud, nao walishawahi kuandamana mitaa ya Antananarivo kushinikiza Rais wao afuate mfumo wa uongozi Tanzania.

Watanzania yatupasa tutembee vifua mbele kwani tuna Rais Magufuli mwenye viwango, sifa, ubora na kipawa cha uongozi cha kitaifa na kimataifa. Najivunia Rais Magufuli.

*Shilatu E.J*
Mbona mabandiko ya aina hii yamekuwa mengi? Au ndo ajira mpya? Ukute wadau wanalamba mpunga!!!!!
 
Mtu mmoja hawezi kuwa nchi. Yaani mleta mada kuona bango la mtu mmoja amebeba, basi huyo mmoja anageuka kuwa nchi?

Hapo Kenya kulikuwa na taarifa rasmi kabisa, tena mbele ya vyombo vya habari, Gavana wa Kenya (sikumbuki jina Kaunti), alitamka kuwa uongozi wa Magufuri ni aibu kwa Afrika. Hilo unalisemaje?

Kule UK, mwungano ya vyama vya wanasheria waliwahi kuandika mpaka barua jinsi uongozi wa Magufuri unavyokanyaga haki za raia. Hilo unaliongeaje?

Lakini kumbuka, ni karibuni tu US wametoa waraka kuelezea uongozi wa Magufuli unavyoendesha chaguzi za kiinimacho.

Ukiacha hayo yote, wanaojua kuwa Magufuli ni Rais mzuri au mbaya ni Watanzania. Ni wale wananchi wa Kimara waliovunjiwa nyumba zao licha ya kuwepo amri ya mahakama kusimamisha ubomoaji. Ni wale ndugu, marafiki wa Ben Saanane, Tundu Lisu, Mo, Azory, n.k. Ni wale wafanyabiashara waliofunga biashara zao kutokana na maonevu ya TRA, ni wale wafanyakazi walioachiwa kwenye migodi ya madini baada ya waajiri wao kulazimika kufunga uchimbaji, ni wale wananchi wa mikoa ya Nyanda za juu Kusini wanaoshindwa kuuza mazao kutokana na soko la nje la mazao yao kuvurugwa na serikali mwakajana. Ni wale madereva wanalipishwa na TRA kitengo cha traffic kwa kutengenezewa makosa ya kila aina ili 30,000 ipatikane, ikiwezekana kutoka kwa kila gari linalotembea barabarani. Ni wale Watanzania waliozimiwa kuona bunge lao kwa sababu tu serikali haitaki wananchi wasikie wabunge wao wanapoihoji serikali. Ni wale watanzania waliotengenezewa sheria ya mitandao ili wakiokosoa serikali waweze kudhibitiwa kisheria. Ni wale watanzania waliotengenezewa sheria ya takwimu ili serikali ikitoa takwimu zozote zile, wananchi wameze tu hata kama hazina uhalisia.

Hao wote na wengineo, ndio wanaoujua uzuri wa Rais wetu mpendwa. Rais ambaye hatujawahi kubahatika kumpata tangu tupate uhuru.
 
Na Emmanuel J. Shilatu

1. Nchi ya Kenya mpaka kesho wanaonyesha hali ya juu sana ya kumkubali Rais Magufuli, Na wamekuwa wakituma ujumbe Mara kwa Mara kupitia ukurasa wa Rais wa Kenya Mr Uhuru Kenyatta, kuwa Magufuli njoo utuondolee ufisadi Kenya.

2. Nchi ya Colombia; Hii ni nchi maarufu sana Duniani. Mwana riadha Carles Valdez, ameandika Mara kwa Mara katika kurasa zake, kuwa "The African rising star from Africa, please join us ,help us with this triumph corruption in our country"

3. Napo Uganda kwa Mzee Mseven wametaka kuwa na Rais Magufuli, hawaijui Kiswahili vema, wanasema HIS EXCELLENCY JOHN POMBE MAGUFULI, NJOOO UTUNYOROOSHEEE, tunakutaka uku!

4. USA, ni vigumu sana kuamini kwamba watu wa USA wanafuatilia pia, mmoja kaandika kwenye ukurasa wa Twitter kuwa, "Trump you are John too but you don't deserve to be respected as John of Tanzania, welcome to USA we need a president of your caliber "

5. Bolivia ni nchi inayopatikana kusini mwa bara la America. Wakati wa mechi ya kirafiki Na Venezuela, ilionekana bango kwa mbali wakipinga rushwa inayoendelea nchini mwao, lilikuwa linasema " there is an emerging country in Africa with MAGUFULI. Our president don't be ashamed to get lecture from the guy"

7. Nepal mitaa ya kathmandul wananchi wameamdamana kutaka mitaa baadhi iitwe MAGUFULI, Na kusema wanataka Rais wao awe kama Magufuli.

8. Nchini Congo kwa kabila nyote ni mashahidi, wakati mkilia kule wanaomba Rais Magufuli aongoze,

9. Nchi ya Australia magazeti yanatoa maoni ya watu mbali mbali Na kusema wanashangaa kuna ka nchi uko Africa kana Rais ni hatari kabisa, wanatamani aongoze hata kule!

10. Madagascar kwa Waziri Mkuu Kelvin Ruud, nao walishawahi kuandamana mitaa ya Antananarivo kushinikiza Rais wao afuate mfumo wa uongozi Tanzania.

Watanzania yatupasa tutembee vifua mbele kwani tuna Rais Magufuli mwenye viwango, sifa, ubora na kipawa cha uongozi cha kitaifa na kimataifa. Najivunia Rais Magufuli.

*Shilatu E.J*
Tunaamini hao watu hawana taarifa sahihi ya kiachoendelea hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom