Recent content by 12345609

  1. 12345609

    JamiiForums Tanzania Muda wako ndio kipimo cha maisha yako

    Message nzuri lkn ningeomba kukuomba urudie kuelewa nn maana ya MUDA ingekuwa vzur coz ndani ya MUDA Kuna mali na pesa na vitu vingine vingi so ukichezeq pesa na mali na elimu na v2 vingine Haina tofaut na kuchezea MUDA. Unavyosema MUDA ni kuwa unamaanisha kutumia nafasi uliyopata Kwa wakati...
  2. 12345609

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba(ke)

    Umri ni miaka 26 ninatafuta mchumba(ke)akiwa na miaka 24 hadi 30 itakuwa safi na itapendeza kama utakuwa morogoro au dsm
  3. 12345609

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana na kijana anaangalia katuni? Kuna umri unaopaswa kuacha kuangalia?

    Kuna umri maalum wa kuangalia katuni? Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana kijana akiangalia katuni?
  4. 12345609

    JamiiForums Tanzania Zuchu afungiwa kujihusisha na shughuli za sanaa Zanzibar

    Hatari sana
Back
Top Bottom