Recent content by 04sabrah05

  1. 0

    Msaada tafadhali: Kwa anayekifahamu chuo cha TIA tawi la Mtwara naomba anijuze yafuatayo

    Form za tia zinamelezo yote angalia online. Utajua kila kitu
  2. 0

    Naomba kujuzwa kuhusu hili:

    Ina maana hata mwene business administration anaweza kuchukua?? Na akishapata anaendelea na kazi zake au ndo anafanya kazi za uhasibu?
  3. 0

    Naomba kujuzwa kuhusu hili:

    Habari zenu wakuu. Nlikua napenda kujua kuhusu kama mtu aliesoma accounts hua anachukua CPA je kwa mtu aliesoma business administration hua anachukua nini au ndo anabaki na degree yake au diploma hivo hivo?
  4. 0

    Ukiwa na CPA unaweza kusoma masters?

    Samahani ndugu naomba unieleweshe kidogo...kwamba mwene diploma anaanza na stage ya foundation na mwene degree anaanza na intermediate?! Na stage hizo zinachukua muda gani kumaliza?? Na ukimaliza hizo stage ndo unakua na uwezo wa kuingia masters?
  5. 0

    TCU na 3.5 GPA for diploma holders

    Ila waziri wa elimu n tcu wote wanakurupuka ilipo kua wanachukua kuanzia gpa ya 2.7 watu walikua wasipo fika wanasoma pre-entry sasa 3.5 ya bila taarifa na pre-entry zimefutwa.
  6. 0

    TCU na 3.5 GPA for diploma holders

    Msemo wa ukielimisha mwanamke umeelimisha jamii kwa huyo mama hakuna maana ni mwanamke asie na mawazo ya vizazi vingine jamii anayoijua n familia yake tu. Ila tusikate tamaa walijua kawakisema mapema watu wangepata hiyo gpa ndomana wakaamua kushtukiza
  7. 0

    Guide Book ya Diploma kwenda Degree imetoka

    Jaman 3.4 kushuka chini wataenda wap??
  8. 0

    Serikali hii imeamua kupunguza wasomi Tanzania

    Inamaana hao wa chini ya gpa watasaidiwa nini au ndo washatelekezwa??
  9. 0

    Serikali hii imeamua kupunguza wasomi Tanzania

    Baadhi ya vyuo vimetoa diploma kwa watu wasio pungua 400 ila vinahitaji watu 100 kweli hapo hali ningumu sana hamna kimbilio.
  10. 0

    Hivi tutatusua kweli?

    Wanafkiri kila mtu anategemea mikopo...sasa hao diploma wakati wanasoma aliwapa mikopo. Hii nchi bana tatizo
  11. 0

    Guide Book ya Diploma kwenda Degree imetoka

    Tatizo lako hujui uchungu wa elimu nahisi hata hizo gpa huzijui kwa mtu mwene elimu hawezi kuongea hivo eti 4.0 ndo nyie mlikua mkipata vi C flat kisa huko nyuma hamkukaziwa basi wenzenu mtakaa kuwasema.
  12. 0

    Serikali ya Dr Magufuli yatoa pesa pungufu ya Field

    Mmepewa hiyo kidogo ili mpunguze wingi wa watu watakao husika na 1sep UKUTA
  13. 0

    Guide Book ya Diploma kwenda Degree imetoka

    Mtu anaejielewa hawezi kumwita mwenzie kilaza kisa hana gpa ya 3.5 kuna watu faculties wanazosomea ni vigumu sana kupata hiyo 3.5. Ila wengine wanawakatisha tamaa kusoma sio kufanikiwa kimaisha.
  14. 0

    Guide Book ya Diploma kwenda Degree imetoka

    Hapo washatelekezwa hii ndo tz gpa imepanda na pre-entry zimefutwa.
  15. 0

    Kwa application za degree kwa wenye Diploma

    Kwa mujib wa calendar ya TCU Leo ni tar14 maana naona kimya hadi sasa
Back
Top Bottom