Recent content by 0123456

  1. 0123456

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Yeah ni Green Cardamom Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. 0123456

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Itakuwa wamepata kutoka kwangu! Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. 0123456

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Nipo serious wakuu! Bado naitafuta mawasiliano +51 920608996..mwenye info anaweza akaniona inbox kwa namba iyo! Please niweke kwa hilo group. Shukrani Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. 0123456

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Wakuu naomba msaada kama kuna mtu ana sources au analima hiriki. Zinahitajika tani zozote, mwenye sources au kama we ni source please nione inbox. Specifically nahitaji hiriki za namna hii kama kwenye hizi picha. Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. 0123456

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kwenye Network Marketing tunawaomba mtoe Ushuhuda hapa

    hahahaha huyu muitaliano Carlo Ponzi aliwalamba wengi sana.!!
  6. 0123456

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wangu ana upungufu wa damu

    nilichokuwa namaanisha ni kuwa je huo upungufu wa damu vipímo alivopima vinaonyesha ni type gani ya upungufu wa damu au kwa lugha rahisi huo ipungufu umeletwa na sababu gan..!!maaana bila kujua sababu specific ni sawa utakuwa unajaza maji ndoo iliotoboka...kwasababu kuna type nyingi na sababu...
  7. 0123456

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kutongoza kwa muda mrefu ndiyo ishara ya penzi la dhati?

    Ni ujingawaz tu.! [emoji850]
  8. 0123456

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa huyu dada yangu maana sasa anakoelekea atatutia aibu

    Huyo dawa yake ni kumkazia afanye jambo productive.!!Hakuna mambo ya kuleanaleana..hilo ni bomu litakuja lipuka one day na watakaodhurika ni wanaomzunguka. [emoji850]
  9. 0123456

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wangu ana upungufu wa damu

    vipimo vingine vinasemaje?Hospital walikwambia nin Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. 0123456

    JamiiForums Tanzania Nimeteseka sana lodge

    hahahaha..hatare
  11. 0123456

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Mbezi Beach

    khaa...bei rahisi ivi..!!mmh
  12. 0123456

    JamiiForums Tanzania Wanaume muda mwingine wanaboa sana

    hahaha...huu uvumilivu sina na sitakuja kuwa nao haha...miez sita imekuwa naomba kazi au..!!
  13. 0123456

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Huu Uzi Mtamu hatari..
Back
Top Bottom