0123456
Member
- Oct 22, 2018
- 83
- 37
nilichokuwa namaanisha ni kuwa je huo upungufu wa damu vipímo alivopima vinaonyesha ni type gani ya upungufu wa damu au kwa lugha rahisi huo ipungufu umeletwa na sababu gan..!!maaana bila kujua sababu specific ni sawa utakuwa unajaza maji ndoo iliotoboka...kwasababu kuna type nyingi na sababu nyingi zinazopelekea upungufu wa damu.