Recent content by 007pesewa

  1. 0

    JamiiForums Tanzania Kikwete Relieved As Mkapa Opts Out

    Duh watu kama nyie mlistahili Heshima ya kipekeee hapa ndani
  2. 0

    JamiiForums Tanzania CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

    Akiba ya Maneno ni Nzuri sana
  3. 0

    JamiiForums Tanzania Kisheria na kiuhalisia: ZEC wanakwamisha Tanzania nzima

    Atakuwa kasoma Udsm
  4. 0

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif akataa maamuzi ya ZEC, atoa tamko zito

    Yule Mwandishi wa Habari Kenya hakuwa Mgombea .... Yupo the Hague
  5. 0

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif akataa maamuzi ya ZEC, atoa tamko zito

    Kitendo cha January Makamba kutangaza ushindi kabla tume haijatoa matokeo ilikuwa Demokrasia?
  6. 0

    JamiiForums Tanzania Morogoro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Ndio mzeee ...... Si ni kweli nakubalika JAMANIIIIIII
  7. 0

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    My power would fall if i did not support it with more victories
  8. 0

    JamiiForums Tanzania Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

    Kwenye Semina elekezi kwa Wasimamizi wa vituo vya kupiga kura tuliambiwa Masanduku na karatasi maalumu za kupiga kura tutasambaziwa Asubuhi ya saa moja baada ya vituo kufunguliwa na mawakala wa vyama kuwepo... Kama hatokuwepo wakala basi mgombea au kiongozi wa Chama anayetambulika. Sasa hawa...
  9. 0

    JamiiForums Tanzania Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

    Uyu Mmama inaoenekana ni Kishimo mno
  10. 0

    JamiiForums Tanzania Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

    Kwahiyo hizo picha zimetengenezwa?
  11. 0

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Shukrani za Dhati Kwako Chief Mkwawa... Hapa nipo kucheko game ya Aseno na Bayern..... Mzigo kama natumia Dish la Dstv
  12. 0

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Ahsante Chief Mkwawa.... Nimetazama full HD Avengers (2015)
  13. 0

    JamiiForums Tanzania Books

    Mia ngapi?
  14. 0

    JamiiForums Tanzania Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!

    Pasco ahsante kwa kunishawishi kufungua akaunti jamiiforum
  15. 0

    JamiiForums Tanzania Tutorial assistant vs lecture kuna utofauti?

    Naanzaje kusoma IFM kwa mfano?😂😂😂😂😂😂
Back
Top Bottom