Ki ukweli mimi binafsi huwa sifurahi kuona ualimu unakuwa ndio taaluma inayopuuzwa mara kwa mara hapa nchini wakati mataifa mengine hujitaidi kuwekeza zaidi katika Elimu kwa kuwaboreshea maisha bora walimu.
Ndio maana mara nyingi hawa waandishi wetu wa habari huombwa kuwa makini pale wanadeliver masuala ili kuepusha kuzuka kwa mijadala inayoweza kuwajengea watu fikra zisizo sahihi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.