Bado kidogo tu nikodishe gari nipige wimbo wa "wataisoma namba" jiji zima

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
2,149
1,717
Hakika mwaka umeanza vibaya sana
- Fukununu ya baa la njaa na bei za vyakula vinapanda
- Bei ya dola nayo inapanda kwa kasi ya kutisha, huwez amini tangu tarehe 31 December mpaka sasa shilingi imepoteza kama Tzs 50 ya thamani yake dhidi ya dola
- Hii story ya bodi ya mikopo kuongeza makato ya mpaka 15% ya basic salary mi mwenyewe tayar sina amani kabisa.

La japo ni simanzi kubwa, ila nimedhamiria sasa kwamba ntakodisha gari kwa siku nzima kama jumamosi lizinguke jiji zima likipiga ule wimbo maarufu wa Komba "wameipenda wenyewe, wataisoma namba"

Ila ili kuwe na mtikisiko nataka mambo yaendelee kukaza kidogo ili nitapozunguka na gari watu wausikilizie wimbo 'kumoyo' :D:D

Mwaka juzi tuliposema tuchague mabadiliko tulihisi mambo kama haya yatakuja kutokea. Uongozi hauna trial and error lazima uwe sure na unachokifanya, na kuwa na assurance lazima kujiandaa kunahitajika. Oneni sasa, mambo hovyo hovyo kila kona...

Ila nafarijika kwa kuwa kura zangu zote zilienda ukawa, hiyo nayo nifaraja.
 
Endelea kulia lia na badoo utalia sanaaa..
 
Sasa mkuu, wasiwasi wa nini? Kuharibu maguguri si ndo kufanikiwa kwa team Lowasa a.k.a UKAWA? Shangilieni, ukombozi wa fikra u karibu
 
Back
Top Bottom