Recent content by 0-distance

  1. 0-distance

    JamiiForums Tanzania Ngono ndo chanzo cha umasikini wa waafrika acheni kuwasingizia wazungu juu ya umasikini wenu

    Hapa hapa Bongo kuna watu wanafanya ngono kila leo bado ni mstajili,kupata pesa ni akili na mipango yako kibinafsi
  2. 0-distance

    JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kutusogezea kwenye Daladala

    Hiyo hali mimi imenikuta leo kwenye dala dala hapa Mwanza,nimepandia pale Nyegezi kufika pale kituo cha kijiweni akapanda mda mzuri mfupi wa wastani ila ana mzigo haswa tena wa haja,basi akatuama mbele yangu kila nikifanya hv ana mm,aisee mpaka kufika Nata sijitambui,aisee yule dada..
  3. 0-distance

    JamiiForums Tanzania Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

    Hv hiz habar ambazo hazina ukweli hadithi za sungura bado kuna mtu bado anazianini,je unaweza kuwa hata na wake 100 na inawaweza?,hiyo ni ngonjera,mfano mwingine wa uongo Musa na nchi ya ahadi,je km 600 unaweza tembea hizo siku watembea walitemetembea wanaisrael?
  4. 0-distance

    JamiiForums Tanzania Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

    🙏🙏🙏🙏🙏Umejibu vyema na ukweli ni huo tena ujumbe uwafikie🕊️
  5. 0-distance

    JamiiForums Tanzania Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

    Ni ukweli kabisa usiopingika Hii nchi ndio inayoongoza kwa vilaza sio Afrika tu bali duniani kote,Nchi ina kila kitu lakini watu bado wanaishi kitenge😞😞😞😞
  6. 0-distance

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

    Unapozungumzia nguvu Mnazungumzia nguvu zip,ni vema na nguvu mkazielezea,kwa maana kuna watu hawafanyi mapenzi na hawana chochote cha maana.
  7. 0-distance

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

  8. 0-distance

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wote wanaamini kuwa wataolewa na wanaume matajiri, halafu mimi nachekaga tu

    Sisi Wanaume hatusumbuki Tena na hao masister duu, tunapanga bajeti vizuri, tunawaingizi mchezoni , tukishamaliza kuwashenyenta siku kadhaa, tuwaacha wakalie lie huko.
  9. 0-distance

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi ukikutana na wanyama hawa porini

    Yote kwa yote,hapo lazima ufe tu,mbinu za wanyama wakali ni kujipaka sawa ya asili ili wasikudhuru,vinginevyo bye bye.
  10. 0-distance

    JamiiForums Tanzania Naumwa sana: Nimefika Pemba ili nitibiwe kienyeji, naombeni msaada wa Mtaalamu

    Kama haujawahi kuumwa lazima umkejeli umuite majina yote,lakini kumbuka ugonjwa unauma sana.kama hauna namna ya kusaidia tulia kama ulivo hii ni dunia tu hauwezi jua kituo kinachofata.maana ya jukwaa ni kusaidiana.
  11. 0-distance

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira ameupata Ubunge akiwa na miaka 23 leo ana miaka 80. Nini hajafanya Tanzania mpaka apewe umakamu?

    Wako sahihi kwa kilichofanyika,hii nchi imejaaa chekechea na vilaza shazi,lini nchi hii ikawa na watu wenye kujitambua njaa+akili robo unafikiri Kuna mabadiliko????Taifa haliwezi kubadilika kwa kutegemea akili za Watu waliozeeka,coz huongoza katika mfumo wa ndoto😭😭😭😭😭😭😭
  12. 0-distance

    JamiiForums Tanzania Machache niliyoyaona kwenye mechi kati ya Yanga na Mc Alger

    Mhhhh!Leo Tena nyie ndio wakubadilika,simulisema mpaka fainal,Leo mnatukana na kuwachamba wachezaji"Nendeni kwa Mwamposa mpira umewashinda.🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️.
  13. 0-distance

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapokunywa pombe na Malaya mwaka 2025

    Hakika Mm naweza kusema kuwa,huu Uzi ni Uzi Bora wa kufungulia mwaka 2025,Yako mengi ya kujifunza na kuchukua tahadhari.Hasa kwa sisi Wanaume Wala bata.
  14. 0-distance

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam limegeuka jiji la makelele, Serikali imelala?

    Haiwezekan wewe ukitimiza malengo Yako njoo Mikoani,Maana huku tunaishi Raha mstarehe hakuna makelele.
  15. 0-distance

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mashine hiyo hapo.
Back
Top Bottom