Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

APARTMENT FOR RENT ON FIRST STOREY @ MAKULU [emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
P Male shirt clothing New brand from italy More than 300k pieces Colour ... Blue,Black,White,Green and Red Size L,XL. PRICE 15,000 TSH Rejareja JUMLA 13,000 TSH CONTACT 0652 434 383
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Karibu utangaze biashara yako nasi. Tuna acc tatu tofauti. 1 ina 15.9k followers 2 ina 41.1k followers 3 ina 43.3k followers
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Habari! Je una wasiwasi na unataka kujua au kuona nini kinaendelea nyumbani/dukani au eneo lako la biashara? Je unatamani kuwa na kamera za uangalizi lakini unaogopa bei kubwa? Ondoa shaka sisi...
1 Reactions
66 Replies
11K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu.Nina dola Hizo zipo bank namie nipo Mwanza aliye na shida anicheki twende bank nichomoe nimpatie naye ananipa Hela naweza bank. Bei ni 2310 kwa kila dola. Nina...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za muda! Naomba kujua bei ya pamba ghafi isiyo na mbegu kwa hapa Tanzania ni Tsh. ngapi kwa Kilo? Je, kuna uwezekano wa kuisafirisha kutoka mashambani mpaka mkoa wa Dar?
0 Reactions
1 Replies
608 Views
Habari za weekend wadau. Pole na majukum ya weekend ndugu zangu. Wakuu nilikua naomba kama kuna mtu anafahamu sehemu ambayo nitapata chumba single room ambayo iko standard maji na umeme mazingira...
0 Reactions
3 Replies
718 Views
Habari! Naomba kujua kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji sufi au manyoya yanayotokana na mti aina ya msufi kwa hapa Tanzania inapatikana wapi. Nitafurahi na kushukuru endapo...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
ndugu zangu habarini ya jumapil? naomba mwenye kujua bei za ma tank ya maji kama ya sim tank, poly tank nk. ni kwa mahitaji ya nyumbani tu. ujazo kuanzia lita 1,500-2500
0 Reactions
6 Replies
4K Views
nyumba inapangishwa maeneo ya tabata kiskulu,ina vyumba vitatu,master bedroom,sitting room,jiko,250,000 kwa mwezi,kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia 0784355363
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta kioo cha Samsung Tab S Mwenye nacho au mwenye kujua nitapata wapi anijulishe
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Husika na kichwa cha habari hapo Juu eneo la biashara ukubwa wa ekari mbili na nusu linauzwa limepimwa hati miliki zote zipo hili eneo linafaa kujenga hotels za kitali na beach nzuri liko...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
For sale Samsung grand prime pro 2018 Storage 16gb Ram 1.5 Kioo 5 inches Rangi silver Simu used kama mpya Bei 180000/-
0 Reactions
1 Replies
1K Views
samsung kavu yaani j7
0 Reactions
8 Replies
7K Views
bei iwe ya kawaida tu nataka niweke kweny cm yng
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta kioo cha iphone 6plus pamoja na bei yake if any Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Simu yangu imepasuka hivo naitaji kioo(display+ digitizer) tuwasiliane kwa 0744879704
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello mwenye sim samsung a5 imezingua aniuzie KIOO
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama kuna mwenye nacho tuongee bei.Ni complete
0 Reactions
31 Replies
11K Views
Habari km una kioo cha hiyo simu tajwa tuwasiliane kiwe na rangi nyeusi kikiwa used itapendeza zaidi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom