Jipatie Kamera za uangalizi (CCTV) nyumbani kwako kwa kuanzia 70,000/ tu!

Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Messages
124
Points
225
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined Sep 25, 2014
124 225
Habari! Je una wasiwasi na unataka kujua au kuona nini kinaendelea nyumbani/dukani au eneo lako la biashara? Je unatamani kuwa na kamera za uangalizi lakini unaogopa bei kubwa? Ondoa shaka sisi tuna suluhisho la hayo yote....

Tunauza na kufunga kamera za uangalizi (CCTV) kwa gharama ndogo ya kuanzia 70,000/ tu! Kamera hizi ni za kisasa zinazokuwezesha kuona kinachojiri nyumbani kwako popote pale ulipo duniani. Ni rahis kuzifunga (Installation) kwani zina umbo kama la bulb za kawaida na zinachomekwa kwenye holder ya taa za kawaida za majumbani.

Unachohitaji ni smartphone na kifaa cha internet nyumbani kwako tu.
Ni nzuri kwa wenye watoto wadogo ambao wanashinda na dada wa kazi tu nyumbani, muda wowote unaweza kuangalia nini kinaendelea nyumbani, pia unaweza kuongea na wakakusikia.

Sifa nyingine ya kamera hizi:
1. Ina motion sensor
2. Inakutumia notification pale tu inapohisi movement (una-set muda ambao unataka iwe inakutumia tarifa kama kutakuwa na movememnt)
3. Inapiga alarm hivyo hata kama ni usiku utasikia larm na kuamka kama kutakuwa na movement sehem husika (Mf nje)

Karibuni sana wateja, tunakuletea popote ulipo ndani ya Dar es Salaam.

Wasiliana nasi kwa simu namba 0658402450.

images-3-jpeg.1181086
download-2-jpeg.1181087
download-1-jpeg.1181088
download-jpeg.1181089
 
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Messages
124
Points
225
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined Sep 25, 2014
124 225
Tazama hapa jinsi ya kufunga na kutumia kamera hizi...
 
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Messages
124
Points
225
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined Sep 25, 2014
124 225
kukomesha wizi na uhalifu mwingine mamlaka ziondoe tozo kwenye vifaa angalau mtuuzie kwa 10,000 hadi makapuku wazimudu. tumechoshwa kupelekana polisi. isitoshe na polisi wana kazi nyingine nje na kufungua mashitaka ya wizi
Ni kweli kabisaa mkuu!
Hata na hivyo kwetu ndio sehemu pekee utakayopata vifaa hivi kwa bei ndogo kabisaaa!
 
f de solver

f de solver

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Messages
1,412
Points
2,000
f de solver

f de solver

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2017
1,412 2,000
Habari! Je una wasiwasi na unataka kujua au kuona nini kinaendelea nyumbani/dukani au eneo lako la biashara? Je unatamani kuwa na kamera za uangalizi lakini unaogopa bei kubwa? Ondoa shaka sisi tuna suluhisho la hayo yote....

Tunauza na kufunga kamera za uangalizi (CCTV) kwa gharama ndogo ya kuanzia 70,000/ tu! Kamera hizi ni za kisasa zinazokuwezesha kuona kinachojiri nyumbani kwako popote pale ulipo duniani. Ni rahis kuzifunga (Installation) kwani zina umbo kama la bulb za kawaida na zinachomekwa kwenye holder ya taa za kawaida za majumbani.

Unachohitaji ni smartphone na kifaa cha internet nyumbani kwako tu.
Ni nzuri kwa wenye watoto wadogo ambao wanashinda na dada wa kazi tu nyumbani, muda wowote unaweza kuangalia nini kinaendelea nyumbani, pia unaweza kuongea na wakakusikia.

Sifa nyingine ya kamera hizi:
1. Ina motion sensor
2. Inakutumia notification pale tu inapohisi movement (una-set muda ambao unataka iwe inakutumia tarifa kama kutakuwa na movememnt)
3. Inapiga alarm hivyo hata kama ni usiku utasikia larm na kuamka kama kutakuwa na movement sehem husika (Mf nje)

Karibuni sana wateja, tunakuletea popote ulipo ndani ya Dar es Salaam.

Wasiliana nasi kwa simu namba 0658402450.

View attachment 1181086View attachment 1181087View attachment 1181088View attachment 1181089
Aiseee sasa ufanyaji wake wa kazi si paka kuwe na mwanga
 
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
1,025
Points
2,000
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
1,025 2,000
Hallo Hii sekta ina ushindani mkubwa na hasa toka kwa mchina. Isije kuwa tuna chat na mchina hapa.

Jibu hoja za wateja watarajiwa
 
harder king

harder king

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Messages
2,961
Points
2,000
harder king

harder king

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2017
2,961 2,000
Habari! Je una wasiwasi na unataka kujua au kuona nini kinaendelea nyumbani/dukani au eneo lako la biashara? Je unatamani kuwa na kamera za uangalizi lakini unaogopa bei kubwa? Ondoa shaka sisi tuna suluhisho la hayo yote....

Tunauza na kufunga kamera za uangalizi (CCTV) kwa gharama ndogo ya kuanzia 70,000/ tu! Kamera hizi ni za kisasa zinazokuwezesha kuona kinachojiri nyumbani kwako popote pale ulipo duniani. Ni rahis kuzifunga (Installation) kwani zina umbo kama la bulb za kawaida na zinachomekwa kwenye holder ya taa za kawaida za majumbani.

Unachohitaji ni smartphone na kifaa cha internet nyumbani kwako tu.
Ni nzuri kwa wenye watoto wadogo ambao wanashinda na dada wa kazi tu nyumbani, muda wowote unaweza kuangalia nini kinaendelea nyumbani, pia unaweza kuongea na wakakusikia.

Sifa nyingine ya kamera hizi:
1. Ina motion sensor
2. Inakutumia notification pale tu inapohisi movement (una-set muda ambao unataka iwe inakutumia tarifa kama kutakuwa na movememnt)
3. Inapiga alarm hivyo hata kama ni usiku utasikia larm na kuamka kama kutakuwa na movement sehem husika (Mf nje)

Karibuni sana wateja, tunakuletea popote ulipo ndani ya Dar es Salaam.

Wasiliana nasi kwa simu namba 0658402450.

View attachment 1181086View attachment 1181087View attachment 1181088View attachment 1181089
Mkuu sisi wa mikoani unatusaidiaje kuzipata? Je nikiziagiza naweza kuzifunga mwenyewe? Vp hicho kifaa cha internet nakipataje au kinakuja na hyo camera?
 
nipekidogo

nipekidogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Messages
298
Points
480
nipekidogo

nipekidogo

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2019
298 480
Hicho kifaa cha internet kinachohitajika ni kipi?
Kinapatikanaje? Gharama zake ni nje ya gharama za kununua hivyo vifaa ulivyoelezea hapo?
 
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Messages
124
Points
225
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined Sep 25, 2014
124 225
Kifaa cha internet kipi mkuu kitaje ?
Habari!

Kifaa chochote chenye uwezo wa kufanya internet sharing mf wi-fi router, smartphone (kwa kutumia hotspot tethering) mi-fi na kadhalika.. Internet ni kwa ajili ya kuangalia moja kwa moja (live streaming) ya kinachoendelea.. lakini kama hauitaji live streaming bhasi hakuna haja ya internet utakuwa ukifanya preview manually kwa kutoa memory card na kuangalia matukio..
 
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Messages
124
Points
225
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined Sep 25, 2014
124 225
Mkuu sisi wa mikoani unatusaidiaje kuzipata? Je nikiziagiza naweza kuzifunga mwenyewe? Vp hicho kifaa cha internet nakipataje au kinakuja na hyo camera?
Habari!

Upo mkoa gani?
Kama unavoweza kuona kwenye video fupi hapo juu, ufungaji wake ni rahisi sana na hata wewe mwenyewe unaweza kufunga na kuanza kutumia...

Gharama ya kamera moja ni sh 70,000/ tu!
 
Forum statistics

Threads 1,324,585
Members 508,741
Posts 32,167,264
Top