Pamba Ghafi

Pamba Ghafi

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Habari za muda!
Naomba kujua bei ya pamba ghafi isiyo na mbegu kwa hapa Tanzania ni Tsh. ngapi kwa Kilo?
Je, kuna uwezekano wa kuisafirisha kutoka mashambani mpaka mkoa wa Dar?
 
Cheki na viwanda vya nguo mkuu ..unaweza piga simu ukafanya mawasiliano
 
Back
Top Bottom