Natafuta chumba along morogoro Road!

Natafuta chumba along morogoro Road!

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
798
Reaction score
2,059
Habari za weekend wadau.
Pole na majukum ya weekend ndugu zangu. Wakuu nilikua naomba kama kuna mtu anafahamu sehemu ambayo nitapata chumba single room ambayo iko standard maji na umeme mazingira mazuri

Kuanzia maeneo ya kariakoo ,magomeni, mabibo ,mpaka ubungo ambacho kitakua karibu na njia ya mwendokasi nilikua naomba tuwasiliana tafadhali

Msaada wenu tafadhari. Muwe na weekend njema
 
Bei kuanzia Elfu 30 - 50. Nikipata self itakua vzr zaidi bei tunaelewana. Ahsanteni sana
 
Bado mnawaza nyumba za kupanga miaka hii?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom