Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

hello!kiwanja kinauzwa mbezi ya Kimara,kituo temboni kabla ya kufika mbezi mwisho upande wa kushoto ukiwa unatokea ubungo,km 4 from Moro goro road,ni nusu heka na bei!milion 16 hakina hati ila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, -Kiwanja kipo kimara kwa komba. -Kimepimwa ila bado kukabidhiwa hati. -kipo sehemu ya tambalale -Mita 20 kwa 25 -Bei Milion 12 -Maelewano yapo -0712595636
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Soldout
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Habari wakuu, nauza eneo langu hapo Goba Kinzudi Magorofani lenye size ya 47x30m, limepimwa na lina mawe( Beacons), ni accesible na mwendo wa 2-3 min hadi njia kuu ya Goba, maongezi yapo. Hilo...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Kiwanja kiko goba Njiapanda ya makongo juu kutoka kwenye lami n dakika 10 kwa mguu Kimepimwa ila hati hakina Ukubwa ni 40/20 Bei 25m Piga 0765114158
1 Reactions
10 Replies
1K Views
kiwanja kinauzwa mbweni Plot number 179 block 4 Mbweni mpiji kiwanja kipo karibu na soko yaani mbele ya soko na pia kipo karibuni na shule ya msingi na viwanja vya michezo, ni sehemu nzuli sana...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kiwanja kina ukubwa 1150sqm Bei 22m Kiwanja kipo jujuu,mandhali mazuri sana kwa kuishi Maelezo zaidi na kuja kuona wasiliana nami kwa 0756060183
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Uwanja uko goba kinzudi, unaweza pitia salasala mwisho wa lami Ukubwa mita 25 kwa 20 Manzari mazuri sana Bei 11m Maongezi zaidi wasiliana nami +255756060183
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ninanunua gallstones zinapatikana kwenye nyongo ya ng’ombe gram moja 50000. Robo kilo million 12.5 Nicheck Whatsapp , Call na Sms kwa No:- 0693296809
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kiwanja kipo goba maeneo ya Lastanza..ukubwa mita 48 kwa Mita 20 Bei 27m Kiwanja kipo kwenye muinuko, ukiwa hapo unaona mandhali nzr ya mji na upepo mzuri unaupata 1km kutoka goba road na 4km...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kiwanja Kinauzwa kipo Dar kimara temboni Ukubwa meters 20 *20 Huduma barabara umeme nk Karibuni 0689866829 Bei 5m
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kitabu kinachofafanua maana ya Maneno hayo mawili. Viongozi wa dini wameongea kwa ufafanuzi. Pia kimesheheni mada kibao, kama: MWANAMKE KABLA HAJAOLEWA ANATAKIWA AWE AMEFANYA NGONO NA WANAUME...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SPECIFICATION Hard Disk 500GB RAM 4GB Processor Dual Wenye mzigo PM plz. Very urgent
0 Reactions
5 Replies
891 Views
Wakubwa samahani kama kuna anayejua bei ya maziwa ambayo asasi wananunua kutoka kwa wafugaji
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Natafuta kioo cha simu used kati ya hivi : 1-samsung galaxy note 3 2-samsung galaxy j3 Mwenye navyo navihitaji pesa ipo.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari ndugu?, Nimeipenda hii gari na unafuu wa hii bei ya Tsh 3,372,935/= as a total price. Nauliza, hivi mpaka kuimiliki ifike kwangu gharama itafika tsh ngapi? Tafadhali naomba ufafanuzi kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu hope mko salama. Kuna flat screen LG nchi 32 inauzwa. Ni made in Korea rangi ya silver, picha zake ndo hizo hapo attached. Bei kuanzia Tsh 350,000/= na ni maeneo ya hapa Dar es salaam. Kwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Shamba au pori linauzwa linafaa kwa matumizi yote kulingana na mahitaji ya mteja mwenyewe Lipo Muriet Arusha km 3 kutoka barabara ya Africa Mashariki Lipo karibu na huduma zote za jamii Jumla...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NYUMBA inapatikana kimara, stopover Ina vyumba viwili (1self-contained) Seating room, Kitchen (open) & public toilet Maji na umeme unajitegemea Kutoka Morogoro road ni dakika 8-10 (mwendo wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jf,nadhani hi awamu ya tatu hii ni baada ya kukosa mteja wa uhakika na changamoto za hapa na pale.....ila cha kushukuru ni kwamba nyumba mpaka sasa haijapigwa Mnada SIFA ZA NYUMBA...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom