PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Habari ndugu?,
Nimeipenda hii gari na unafuu wa hii bei ya Tsh 3,372,935/= as a total price.
Nauliza, hivi mpaka kuimiliki ifike kwangu gharama itafika tsh ngapi? Tafadhali naomba ufafanuzi kwa mwenye uelewa na nini rahisi cha kufanya ili niipate hii.