Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

IMESHAUZWA!
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau naitaji Toyota ist na D iwe kwenye Hali nzuri kwajili ya Uber na matumizi yangu binafsi 0719656063
0 Reactions
2 Replies
931 Views
Kwa wale wapenzi wa gaming na watu wanaofanya video editing,graphic desighn, wanaochora ramani za nyumba(artchtec).nabuild gaming/graphic pc kwa gharama nafuu kulinganisha na gharama ya ps4...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mashine hiyo imetumika,ipo kwenye hali nzuri sana.....karibu 0715-011022
0 Reactions
3 Replies
2K Views
*Nyumba zinapangishwa mwenge maeneo ya mliman city.* Ni dakika 5 tu kutokea Mliman City. 1. Nyumba yenye vyumba viwili choo sittng room pamoja na jiko lake bei yake tsh 300,000/= kwa mwezi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Za humu?Nahitaji shamba lenye sifa zifuatazo;Maji ya uhakika,udongo usiwe kichanga,linafikika.Eneo lolote la Dar itapendeza.Lengo ni kulima. Ushauri,maoni na mawazo nitapokea.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wajumbe, Nina Screen zangu mbili, Digihome (Inch 42- black) mtumba na SON Bravia (Inch 28, Cream colour), TV hizi ni mbovu hii DigiHome ilizima tuu mwaka jana, na hii SON Bravia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba ina: 1. Vyumba 3 2. Sebule 3. Nyumba mkonze ndani ya jiji la dodoma 4. Nyumba imekamilika ila inahitaji finishing kidogo 4. Bei milioni 20 (maongezi yanakaribishwa) 5. Nyumba haina...
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Habari wanaJF nina plot za viwanja eneo la kidimu. 20×20 hatua ni milion 5. Eneo lina maji na umeme. Plot zipo 4. kwa mawasiliano ni..... 0685113740 0768905700 Eneo ni la familia hakuna udalali...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Yamaha mt 07 Cc 684 Year 2017 Price 14M Mwaza Contact: 0735404040
0 Reactions
3 Replies
922 Views
Toyota hilux CC:2690 Year:2000 Price:32M Place:Mwanza Contact:0735404040 Gari bado mpya kabisa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi mmi nipo tanga napenda sana ngamia ila sijui ntapata wapi kwa bei nafuu niwezee kufuga#msaada kwenye tutaa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu nina mradi kidogo au fursa kwa wale walio serious natengeneza eggs incubator full automatic kwa bei poa sana pia nafundisha kwa wale watakaohitaji sipo dsm sasa kwa walio dsm itabidi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF kama mmestukia miaka ya hivi karibuni wino za printa na photocopy machines sio pasua kichwa tena yatakiwa tu kuji-position ili kila mtu ajue nafasi yake wewe ni mkono wa ngapi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa anaehitaji praystation 2 inauzwa ni used ila ipo katika hali nzuri aina matatizo yoyote imeshachipiwa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama una biashara au unatoa huduma fulani inaweza kuwa unatoa mikopo, una taasisi ya elimu au una biashara yoyote na unataka kuiboresha kuwa ya kipekee na kukuza soko la huduma au biashara yako...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Namtafuta mmiliki wa gari tajwa hapo juu tufanyebiashara. Dalali kanitumia picha ya gari ila ananiambia nimtumie hela kidogo kwanza (sijui ya nini). Nahitaji kununua hili gari kama kweli lipo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Waungwana wapi wanauza car scratch remover( smart pen/polish) na ni bei gani?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Kiwanja KINAUZWA Kipo KIMARA MWISHO Upande wa Barabara ya Morogoro Road,Ukitoka Posta Kiwanja Kina Ukubwa wa Square Meter 19,200 Kimezungukwa na Nyumba za Makazi Kiwanja Kina Nyumba...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Kiwanja inauzwa, kipo Goba Tegeta A. Kiwanja hakijapimwa. Tayari kuna makazi ya watu. Kipo mita kama 600 kutoka barabara ya lami ya Goba - Mbezi. Ukubwa wa kiwanja: 20m x 22m Bei: Milioni 15...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom