Kiwanja kinauzwa Goba

Kiwanja kinauzwa Goba

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
3,203
Reaction score
2,227
Kiwanja kipo goba maeneo ya Lastanza..ukubwa mita 48 kwa Mita 20

Bei 27m

Kiwanja kipo kwenye muinuko, ukiwa hapo unaona mandhali nzr ya mji na upepo mzuri unaupata

1km kutoka goba road na 4km kutoka bagamoyo road

Mawasiliano zaidi 0756060183
IMG_20190315_122327.jpeg
View attachment 1050090
IMG_20190315_122339.jpeg
IMG_20190315_122335.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah panahitaji bajet iongezeke kidogo kupaweka sawa ila kupenda tunatofautiana wengine tunahitaji milimani wengine mabondeni, yote kwa yote kila mtu na mtizamo wake mkuu
Shida huo mwinuko watoto watakosa pahala pa kucheza, hata parking ya gari sijui itakaaje hapo. Otherwise cost za kujaza au kuchimba zitaongezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom