Kiwanja kinauzwa Goba Kinzudi Magorofani

Kiwanja kinauzwa Goba Kinzudi Magorofani

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,507
Reaction score
6,453
Habari wakuu, nauza eneo langu hapo Goba Kinzudi Magorofani lenye size ya 47x30m, limepimwa na lina mawe( Beacons), ni accesible na mwendo wa 2-3 min hadi njia kuu ya Goba, maongezi yapo. Hilo eneo ni premium area na hakuna nyumba ya kiswahili....kwa watu wa Goba wanaelewa.

Kwa contact zaidi tuwasiliane PM
 
habari wakuu,nauza eneo langu hapo Goba Kinzudi magorofani lenye size hapo juu,limepimwa na lina mawe( Beacons) ni accesible na mwendo wa 2-3 min had njia kuu ya goba, pia ni 5-6 min kwa gari hadi masana hospital bei ni 35 m na maongezi yapo,hilo eneo ni premium area na hakuna nyumba ya kiswahili....kwa watu wa Goba wanaelewa.

kwa contact zaidi tuwasiliane PM
kama unapokea 20m cash nicheki faster mkuu
 
Back
Top Bottom