Nahitaji shamba la kukodi Eka 1+, Dar es salaam

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
4,292
Reaction score
7,211
Za humu?Nahitaji shamba lenye sifa zifuatazo;Maji ya uhakika,udongo usiwe kichanga,linafikika.Eneo lolote la Dar itapendeza.Lengo ni kulima. Ushauri,maoni na mawazo nitapokea.
 
ushauri -Jaribu mkuranga kama unataka kulima mihogo tikiti maji au bamia angalizo-tafuta msimamizi mwaminifu
 
Za humu?Nahitaji shamba lenye sifa zifuatazo;Maji ya uhakika,udongo usiwe kichanga,linafikika.Eneo lolote la Dar itapendeza.Lengo ni kulima. Ushauri,maoni na mawazo nitapokea.
Eneo la mapinga au kiharaka ukubwa mita 50 kwa 100. Maji yapo na umeme karibu utafungwa. Kwa miguu dk 40 toja daraja la mpigi dk 30 toka mapinga
 
Mapinga ipo wapi bro?
 
Mapinga ipo wapi bro?
IPO MBELE YA BUNJU DAR. NI KATA INAYOPAKANA NA DAR KUNA MTO WA MPAKANI. Shamba li,ko karibu na njia kuU YA KWENDA BAGAMOYO. Kama unataka kwenda dar unaweza tu kutembea kwa miguu mpaka barabara ya lami ya bagamoyo then unangoja usafiri mapinga au darajani mto mpigi. Unatembea kidogo unapandia BUNJU SOKON DAR ukitaka zoezi zaidi kidogo
 
Cost ni sh ngapi kaka?
 
Cost ni sh ngapi kaka?
BADALA YA KUKODI NASHAURI NUNUA SHAMBA?. Kuna ndugu tunasali nae anauza jumla eka nane ila antaka kugawa 4 nne. Sijui bei na shamba liko upande wa pili wa barabara ya bagamyo na inachepuka shule ya baobab iliyo karibu na mto mpigi na ingia ndani kidogo kwa barabara inayoelekea kibaha. Ni ushauri tu kwa vile bei kwa sasa iko chini kidogo. Je wewe uko tayari kukodi kwa muda gani NA bei umejitayarisha vipi kwa eka moja?
 
Sasa we ndo uniambie halafu mi niangalie km ni reasonable ishuya kununua ni nzuri ila inahitaji kwanza angalau nilime msimu tu
 
Kuna kiwanja kinauzwa, sq mt 1600 kama sikosei. Jumla ni takribani hekari, kinauzwa 44Mil. Kama uko serious nicheki. Kipo karibu na Hardware ya Ashuba. Na a park ya leisure park ya kwenda Snake park kule.
 
Back
Top Bottom