daudibashiite
Member
- Apr 14, 2017
- 68
- 22
Habari wakuu nina mradi kidogo au fursa kwa wale walio serious natengeneza eggs incubator full automatic kwa bei poa sana pia nafundisha kwa wale watakaohitaji sipo dsm sasa kwa walio dsm itabidi kugharamikia usafiri na njia ya kugharamikia ni kukata ticket ya bus thn na kunipatia ili kuweka uaminifu na pia gharama za utengenezaji au ufundishaji ni baada ya Siku 21 toka mayai yakae kwenye incubator ili uweze kuthibitisha na kuridhika kwa utendaji wake wa kazi incubator ninazo tengeneza zina uwezo wa kubeba mayai 8000+ ukitaka chini ya hapo inawezekana incubator ina uwezo wa kutotoa asilimia 98% ya mayai uliyoweka.
Karibuni sana
Mawasiliano:
Whatsapp...+255 674 094 532
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuni sana
Mawasiliano:
Whatsapp...+255 674 094 532
Sent using Jamii Forums mobile app