Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji chumba kimoja master chenye luku inayojitegemea popote pale DSM ila nauli isizidi mia tano kufika kkoo. Kiwe kizuri na isiwe uswazi sana . Bajeti yangu ni 50k __ 100k Mwenye nacho naomba...
0 Reactions
1 Replies
573 Views
Hello JF team, Kama una mzigo wowote unaitaji usafirishwe kwa gari aina ya Canter kutoka Dar, Moro, Dodoma, Singida, Shinyanga hadi Mwanza. Au kama unahitaji mzigo utoke kati ya mikoa hiyo na...
0 Reactions
10 Replies
985 Views
Inahitajika moja kati ya hizo, iwe imetumika muda mchache, Budget 9m nicheki kwa watsapp 0767525764
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Salam wakuu, Mimi ni mdau wa misitu na utunzaji wa mazingira. Nahitaji kupata wataalam wa kuandika business proposals za kuombea hela kwa wafadhili juu ya uendelezaji misitu na utunzaji wa mazingira
1 Reactions
7 Replies
875 Views
Haya sasa hii ni chumba sebule, INA ka jiko kwa pembeni... Chumba yake INA choo kwa ndani ... Ni nyumba mpyaa ... Parking hata kama una gari 3 !! IPO Makongo Juu... Ya Dar Es ... Umbali mfupi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba ipo kimara suka (golani) Vyumba 4 kimoja ni master Public toilet na bafu Jiko, store, dining, sebule Ipo karibu na shule ya liberty high school Ipo kwenye kona inafaa hata kwa biashara Feni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta chumba Mwanza mjini naomba dalali alieko Mwanza anitafute nahitaji chumba pale mwanza mjini makoroboi au karibu na stendi ya zamani Tanganyika Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Kiwanja kinatakiwa kiwe maeneo ya Kiluvya au Kibaha umbali usiozidi km 5 toka Morogoro Road. Ukubwa isiwe chini ya mita za mraba 750, bei ISIZIDI Tsh 2,000,000/=(milioni mbili). Zingatieni bei...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Meza ya plastic ,king'amuzi cha.dstv na kabati LA nguo, Meza 32elfu,kimg'amuzi 50 kabati lak mbili na arobain
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza laptop,aina ni HP bei ni laki tatu na elfu themanini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza volcano box kwa ajili ya kuflashia simu not activated full boxed pamoja na cable zake zote bei 100k, kwa mawasiliano 0738253942, 0719152715 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anayeuza kabati la nguo,meza na kiti cha kusomea na sofa la watu wawili tukutane hapa
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Nauza laptop aina ya dell Inter core i3 RAM GB 4 Internal storage GB 300 Generation ya 3 Charge masaa 4 Bei 350,000 Karibu kwa mawasiliano piga 0715796040 au follow WhatsApp
0 Reactions
11 Replies
2K Views
eneo ni kubwa kwa ajili ya matumizi ya sheli limekuwa surveyed na lina hati location: njia ya goba kwenda mbezi barabara imechangamka sana na ina lami..traffic ipo ya kutosha mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nauza laptop aina ya dell core i3 ram gb 4 na internal storage gb 300 nipo magomeni kagera nichek namba 0715796040 jaman kama unaitaji picha nichek WhatsApp nakutumia
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hellow wapendwa poleni majukumu, Karibuni chia seed kwa sh.elfu 9 tu kwa kilo moja Chia seed ni safi na ndio imevunwa muda sio mrefu , Napatikana dar es salaam tegeta na popote pale utaletewe...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hamjambo. Nakitafuta kitabu chenye mada "Kiswahili kama bidhaa adimu: jiajiri" kimeandikwa na Elizabeth Godwin Mahenge kwa ajili ya kukinunua.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninauza hard disk 2000GB/2TB Sata ya desktop. Ninapatikana Tegeta Dar es salaam. HDD bado mpya. Bei 120000 maongezi yapo. Kwa anayehitaji anipigie 0789 609 310.
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Nahitaji laptop yenye bei ndogo budget laki 7 au 6 au 5 yenye uwezo mzuri wa games (level za gta 5), graphics and architecture. Mnilelekeze hata anayeuza yuko wapi au account yake social media ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalaam. Tangazo kwa wamiliki wa Radio/podcast & tv. Nina offer packages za matangazo ya sauti Pamoja na motion. 1.RADIO PACKAGES Includes Main Radio jingles,Programs jingles, segments...
1 Reactions
1 Replies
822 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…