Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ni used. Ni salama (sio ya wizi) Bei ni Tsh 350,000/= tu Njoo in box. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mdau anahitaji chumba cha sh. Elfu 30 lakini uwezo wa kulipa ni kila mwezi kwa alie nacho au anaejua kilipo kwa kuanzia Davis Corner hadi Buza kwa Lulenge tuwasiliane pm. Sent using Jamii Forums...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Ipo Mbagala Zakhem, nyuma ya gholofa la Amana Bank. Hati milki ipo. Bei ni milioni 55, maelewano yapo. Kwa mawasiliano piga: 0714167626 au 0688882973
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kampuni ya Property Investors Company inauza viwanja vilivyopimwa Na kutambuliwa na serikali. Viwanja vipo Makurunge Bei yake 12500 kwa mita mraba Umbali ni Km 7 kutoka barabara ya Morogoro Wahi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari JF, Bajaji inauzwa, Iko pouwa kabisa, Bei yake 3.5M, Mawasiliano 0693 347206 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau natafuta mchanga mlaini kwa ajili ya kupiga plasta kwenye nyumba. Kwa anayefahamu dereva au mahali unapopatikana anifahamishe tafadhali. Nipo jijini Dar es Salaam.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Salama wakuu Kuna mtu rafiki yangu anakuja mjini hapa!! Anatafuta room self contained yenye tiles hapo maeneo ya Kimara Mwisho karibu na mwendo kasi. Bajeti yake ni Sh. 60,000 - 70,000. Yoyote...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
We Digital Motion Software Company based in Tanzania with, 4+ years of success in software development-based achievements with decisive market leadership to build high-performance organizations...
1 Reactions
1 Replies
924 Views
Ni ya 2006, ni Petrol Engine, 2400cc, ina automatic Na manual (Unaweza kuendesha kama automatic summer manual), DVD, radio, MP3 player, CD changer, leather seats, ina 136,000km kwa sasa. Bei ni...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Nahitaji fundi anaye jua kushona aina zote za nguo za kike naza kiume. Ofisi ipo maeneo ya Sabasaba kwa mpili (Mbagala) mshahara maelewano. +255718029933
1 Reactions
0 Replies
973 Views
Nina shida nao, natafuta wanao tengeneza kwa hapa Tanzania maana wengi ninaowajua wako Nairobi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba kuuliza bei za Guitar au gitaa Tanzania, za umeme na zisizo tumia umeme, nimeziona huku nilipo katika minada au auction, pengine naweza kufanya hii biashara, nahitaji kufahamu bei zake...
0 Reactions
22 Replies
27K Views
Habari wanakijiji. Kwa wale wanaotafuta Vyumba au Nyumba za kuishi nawadondoshea mzigo hapa na kama Unahitaji popote pengine ndani ya Dar es salaam tuwasiliane. ****PICHA ZIPO ILA MAWASILANO SI...
1 Reactions
5 Replies
22K Views
TOYOTA RAV4 FOR SALE New car Tyres In Good condition 2WD,3s Engine type BEI 5,000,000/= Gari iko dodoma 0767833496/ 0622111186 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana JF naomba kufahamu bei ya mashine ya kutengenezea tambi na namna ya kuandaa tambi hizo.
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Nauza Komyuta (Desktop complete) Yenye Sifa zifuatazo. Core i5 @ 3.10 proccessor, 4GB RAM, 500GB HDD, 19" Monitor, keyboard and Mouse. Bei ni Tsh. 330,000/. Napatikana Dodoma mjini . Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salama wakuu Kwa mahitaji yako yote ya furniture(samani) za aina yeyote ile, majumbani, maofisini na maeneo mengine tupo kwa ajili yako, tunapatikana mwenge Kwa wakaazi wa Dar es Salaam...
1 Reactions
301 Replies
71K Views
Hello wadau! Ikiwa imebaki wiki moja tuumalize mwezi Januari, leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana Tanzania. Huku ikionesha...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
kwenye wakati ambao demand inaweza kuwa kubwa kuliko supply kutokana na matatizo yanaoyoendelea china oneline traders tumeshusha contena la v tishrt tunauza kwa bei nzuri zaid v tishrt cotton bei...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Wadau, naomba muongozo kwa yeyote anayelifahamu soko la sungura (I mean wanunuzi wa sungura) aniunganishe na wanunuzi wa uhakika. Natanguliza Shukrani. My WhatsApp +255767313277. Sent using...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…