Ahsantekuandaa mimi najua ni so simple ila kwa njia ile ya local mashine ngoja nikasome kwenye kitabu nitupie njia zake mkuu ila ukikosa jaribu ku google kuna blog ya mapishi wameelezea kiufasaha kama sijakosea inaitwa curinary food like that jaribu kuichek