Ushapata??Salama wakuu
Kuna mtu rafiki yangu anakuja mjini hapa!! Anatafuta room self contained yenye tiles hapo maeneo ya Kimara Mwisho karibu na mwendo kasi. Bajeti yake ni Sh. 60,000 - 70,000. Yoyote anayemjua dalali aniunganishe nae.
Ongeza hela boss kidogo !Bado sijapata kiongozi
natafta master kubwa au hata seble na chumba master ,,,, maeneo ya korogwe au baruti au kmara mwisho penyewe ila pawe na parking, isiwe mbali na lamiUnatafuta cha aina gani??
natafta master kubwa au hata seble na chumba master ,,,, maeneo ya korogwe au baruti au kmara mwisho penyewe ila pawe na parking, isiwe mbali na lami
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipo vya 200,000/= na 300,000/= maeneo ya baruti karibu na TRA zamani,korogwe,msewe shule,kimara mwisho km serious ni PM ukavione kesho.natafta master kubwa au hata seble na chumba master ,,,, maeneo ya korogwe au baruti au kmara mwisho penyewe ila pawe na parking, isiwe mbali na lami
Sent using Jamii Forums mobile app
hz bei hapana,,, nahtaji kisizid 100000Vipo vya 200,000/= na 300,000/= maeneo ya baruti karibu na TRA zamani,korogwe,msewe shule,kimara mwisho km serious ni PM ukavione kesho.
hizo ni bei sana Aiseeh!! hiyo 200k unachukua nyumba ya familia
Cha 100,000 kipo ila kipo kama dk 15 kwa mguu kutoka barabara kuu
Boss vyumba vinatofautiana mfano maeneo ya Heineken Mikocheni kuna chumba Tsh 300,000/= kwa mwezi yaani hapo unapata chumba na sebure na chumba kingine kidogo (3 rooms) choo na jiko na umeme unajitegemea.
Mi budget yangu laki1 kama utabahatisha nyumba maeneo ya mbezi mwisho na uweke mawasiliano yako hapa hadharanCha 100,000 kipo ila kipo kama dk 15 kwa mguu kutoka barabara kuu
Boss vyumba vinatofautiana mfano maeneo ya Heineken Mikocheni kuna chumba Tsh 300,000/= kwa mwezi yaani hapo unapata chumba na sebure na chumba kingine kidogo (3 rooms) choo na jiko na umeme unajitegemea.
Japo hapo kanisani karibu na shule ya msingi msewe kuna makanisa mawili sio mbali kwenda barabarani kuna chumba na sebure 80,000/= labda kesho nikaulizie kama bado anapangisha kwa bei hiyo ila umeme kuchangia.
Kuna chumba 400,000/= kama unaenda UDBS Kule UDSM hapo 3rooms,sebure .dinning,jiko,store na choo cha familia.
Kesho nitakupa data nyingine za Kimara mwisho,Riverside ,Korogwe Bucha ,Bonyokwa.
Ila kama kawaida tusijisahaulishe dalali ana familia chake ya mwezi mmoja kama anavyofanya Mino Raiola.
Mkuu maeneo ya riverside nahitaji chumbaCha 100,000 kipo ila kipo kama dk 15 kwa mguu kutoka barabara kuu
Boss vyumba vinatofautiana mfano maeneo ya Heineken Mikocheni kuna chumba Tsh 300,000/= kwa mwezi yaani hapo unapata chumba na sebure na chumba kingine kidogo (3 rooms) choo na jiko na umeme unajitegemea.
Japo hapo kanisani karibu na shule ya msingi msewe kuna makanisa mawili sio mbali kwenda barabarani kuna chumba na sebure 80,000/= labda kesho nikaulizie kama bado anapangisha kwa bei hiyo ila umeme kuchangia.
Kuna chumba 400,000/= kama unaenda UDBS Kule UDSM hapo 3rooms,sebure .dinning,jiko,store na choo cha familia.
Kesho nitakupa data nyingine za Kimara mwisho,Riverside ,Korogwe Bucha ,Bonyokwa.
Ila kama kawaida tusijisahaulishe dalali ana familia chake ya mwezi mmoja kama anavyofanya Mino Raiola.
Riverside ,kwa mzee wa upako ,novo kote kuna vyumba ww buget yako bei gani?Mkuu maeneo ya riverside nahitaji chumba
Self Single room taja bei zao!?Riverside ,kwa mzee wa upako ,novo kote kuna vyumba ww buget yako bei gani?
Riverside ,kwa mzee wa upako ,novo kote kuna vyumba ww buget yako bei gani?
Single room ipo hapo Riverside kwenye karibu na na ofisi za kamari za thronebet bei 50,000/=Self Single room taja bei zao!?