Natafuta mashine ya kusaga juisi ya miwa

Natafuta mashine ya kusaga juisi ya miwa

Mjasiri na Mali

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2017
Posts
5,365
Reaction score
14,184
Heri wakuu,

Maji yamefika shingoni nimevunja kibubu kupambana nisizame majini. Kuna location ya uhakika nimepata katikati ya Dar, Wilaya ya Ilala. Eneo lina mzunguko mkubwa wa watu na kazi kibao zinaendelea, panafaa kufanya biashara ya JUISI ya miwa mzunguko ukawa mzuri.

Natafuta mashine ya kusaga juisi ya miwa iwe ya kununua, kukodisha au kushirikiana kwa makubaliano maalumu.

Niko tayari kwa maelewano yoyote ikiwa yana faida pande mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom