Pennsylvania
JF-Expert Member
- Sep 25, 2019
- 335
- 503
Habari wakuu.
Natafuta chumba Dar, maeneo ya Sinza tu.
Sana sana iwe sinza ya mlimani, Mori, Mapambano, Makaburini, Na Law school.
Bajeti yangu haizidi 100k.
Ahsante.