Wakuu kama kinavyojieleza kichwa cha habari nahitaji fundi mahiri wa kompyuta.
Laptop yangu jana ilikuw inafanya kazi vzr tu ila leo asubuhi nilipotaka kuwasha ikakataa nikanunua chaja mpya pia...
Heshima yenu wadau.
Nina uhitaji wa haraka wa PlayStation 2.
Iwe used au mwenye duka ukinionea imani itapendeza pia.
Iwe fat.
Iwe na pads zaidi ya moja.
Iwe na AV Cable na Power Cable.
Iwe...
Eneo lenye ukubwa wa 24M kwa 47M linauzwa maeneo ya Bunju B bei ni sh milioni 35 maongezi yapo nicheki kwa hii namba 0788597559
Sent using Jamii Forums mobile app
LEO NATAKA KUUNDA WEBSITE 1
Website ni ya Tours&Travels (Travel booking)
Features:
Mult-Vendor - (maana yake mtu atajisajili Kwa website yako kama kampuni na mtu akifanya booking kwake utapata...
Habarini Wadau,
Kwa yeyote aliye na SIMTANK na sio Polytank, kiboko wala Lodhia. Naomba tuwasiliane aniuzie kwa bei tofauti na bei ya tank jipya kutoka dukani.
Kama yupo aje PM tufanye biashara...
Rejea kwenye kichwa cha habari.
Nimefungua uzi huu kutaka kujua kutoka kwenu bei ya kununua gari ya kupakia abiria, maarufu kama Daladala.
Kwa wanaojua, naomba kujua bei ya kununua ikiwa used na...
Asalaam Wadau,
Ni matumaini yangu mko salama na hongereni na kazi! Katika pitapita zangu nimeona kwa Sasa kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa Mbegu za maboga baada ya kubainika kuwa zinamsaada...
Nauza nyumba IPO IPO kivule m emben balabala ya kwa mkoremba ipo balabalan inafa kwa biashara Kama zahanati lodge n.k kwa maelezo Zaid 0772 151398
BEI milion55 maongezi yapo
Sent using Jamii...
wakuu naomba mwenye ufahamu kama naweza kupata mtambo bei ya kawaida wa kukamua mafuta ya nazi.
na kama una ABC za Soko la mafuta ya nazi, 100% pure unaweza kutoa maoni tuongeze ufahamu katika...
Nyumba ipo mbezi mwisho mtaa wa msakuzi ipo karibu na barabara/kituo cha daladala
Price: TZS 26,000,000 ( mwenye nyumba ana shida ya haraka kwa iyo kashusha bei)
.Documents serikali ya mtaa...
Make : Toyota
Model : Alphard
Engine Model : 2AZ
Capacity : 2360cc
Full AC
Full Documents
2WD
Two sun Loofs
Excellent Car
Location : Mikocheni
Price : 17.5M
Call : 0717436363
Sent using Jamii...
Wakuu wa jukwaa,
Natafuta friji nina laki 6, ila sijajua kampuni ipi ni nzuri kwa bajeti yangu hiyo hapo juu?
Pia naombeni mambo ya kuzingatia kwenye ili nipate friji nzuri itakayodumu maana...
Popote mlipo wakuu nawasalimu kwa Uchumi wa vijana ni mitandao yenye tija
Napatikana dodoma ambako ndo nyumbani kwa zabibu zenye ubora wa hali ya juu Afrika Mashariki na kati sasa msimu ndo...
USHAURI umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara ambazo zimejitokeza nchini Sudani ya Kusini.
Ushauri huo ulitolewa Siku ya Jumatano na Meja...
Nauza cm Nokia 7plus
64gb/4ram
Camera kali sana
Fingerprint ok
Ina crek kidogo kwa juu
Bei 250000
Dar es salaam
0683168880.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rangi: Nyeupe
Mwaka: 2004
Ukubwa wa injini: 1290 CC
Namba ya usajili: DNS
Mahali lilipo: Dodoma
Bei: Milioni 9.0
Mawasiliano: 0688778881
Sent using Jamii Forums mobile app