Natafuta soko la zabibu kutoka Dodoma

MGOGO27

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
459
218
Popote mlipo wakuu nawasalimu kwa Uchumi wa vijana ni mitandao yenye tija

Napatikana dodoma ambako ndo nyumbani kwa zabibu zenye ubora wa hali ya juu Afrika Mashariki na kati sasa msimu ndo umeanza na nimeona niwashirikishe fursa hii.

Natafuta mtandao wa kufanya nao biashara hii ya zabibu ambayo mimi ninauzoefunayo popote Afrika ya Mashariki naweza kufikisha kama kuna uhakika wa soko na faida

Kwa mawasiliano ni PM au Tumia namba hizi kuwasiliana na mimi kwa
WatsApp
Kupiga au
Meseji za kawaida
+255 752 454 548
+255 714 119 550

1463649648896.jpg
 
Back
Top Bottom