Guacamole JF-Expert Member Joined Mar 19, 2019 Posts 6,220 Reaction score 16,453 Feb 27, 2020 #1 Rejea kwenye kichwa cha habari. Nimefungua uzi huu kutaka kujua kutoka kwenu bei ya kununua gari ya kupakia abiria, maarufu kama Daladala. Kwa wanaojua, naomba kujua bei ya kununua ikiwa used na ikiwa mpya huwa ina-range kwenye kiasi gani. ..
Rejea kwenye kichwa cha habari. Nimefungua uzi huu kutaka kujua kutoka kwenu bei ya kununua gari ya kupakia abiria, maarufu kama Daladala. Kwa wanaojua, naomba kujua bei ya kununua ikiwa used na ikiwa mpya huwa ina-range kwenye kiasi gani. ..