Natafuta friji. Je, brand ipi ni nzuri na bei nafuu?

Andre-Pierre

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
324
1,188
Wakuu wa jukwaa,

Natafuta friji nina laki 6, ila sijajua kampuni ipi ni nzuri kwa bajeti yangu hiyo hapo juu?

Pia naombeni mambo ya kuzingatia kwenye ili nipate friji nzuri itakayodumu maana uchumi huu wa awamu ya 5 pesa imekuwa ngumu. Naombeni ushauri wenu
 
Back
Top Bottom