Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Galaxy Tab A mpya haijatumika inauzwa 32GB storage, 2GB RAM na 8MP rear na 5MP selfie. Bei ni 450k Mpya kabisa Location : Ilala, Dar es salaam Mawasiliano: 0759007696(WhatsApp)...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Price: 38 million Contact: 0625536529 Details Price negotiable Year 2007 Make Toyota Model Hilux Surf Current location In Tanzania Import duty paid Yes Mileage 150000 Car features Air...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
khabari nauza shamba langu eneo la mwasonga heka 1 upana 70 urefu 70 kwa mawasiliano 0764007480 bei m.6 pungufufu tunazungumza
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Compressor Ingersollrand 7/41 4cylinder, 2005 model, Used in UK, Zinatumia Diesel, Zipo katika hali nzuri sana. Price 18M..Unaweza kunichek kwa 0756624618..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu hodi humu ndani,kwa mujibu wa hali ya sasa ilivyo bidhaa ya magari imekuwa ngumu sana,hivyo BEI imeshuka kutokana na hali halisi ya mifuko. Pata gari zuri kwa poa. Year 2003 Maker...
1 Reactions
22 Replies
16K Views
Nipo Pugu Kajiungeni. Natafuta fundi wa kunifanyia finishing ya ukuta wa matofari. Ukubwa wa ukuta ni approximately mita 30 x 30. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Best in town leo naweletea Fursa adimu soma vitabu uongeze maarifa kwa kutambua umuhimu wa kusoma vitabu ili tuweze kupambana na adui ujinga leo tumepuguza bei za vitabu vyetu ambapo unaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza miche ya palms kwa bei nafuu Kila mche nauza 6000 kama unachukua miche mingi bei inapungua Kumbuka bei ya palms ni 10000 kwa hapa dar es salaam Napatikana kigambon unaweza nichek inbox...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa Huduma Bora na Uhakika. Karibu kwa Matatizo yoyote ya Generator lako. Kama unauza au unataka kununua njoo ofisini kwetu. Pia tunafanya Maintenance service kwenye Engine na Ac alternator/Kinu...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Nauza RAV4 KILITIME Gari ni nzima inawaka na inatembea Ila inahitaji repairs kidogo kwenye bodi Yani rangi Pia site mirrors ni za kununua nyingine Automatic Cc 1998 Vvti engine Milango mitano Nina...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari, Nauza diplayed fridge la ice cream Limetumika ndani ya miezi 4 tu. Linafaa kwa kuuzia ice cream, nyama nk. Unaweza kulitumia supermarket au hata duka la kawaida. Halina tatizo lolote...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Najua suala la elimu kila mtu ana njia zake ambazo zilimfanya ikawa rahisi kwa upande wake mimi nina njia zangu ambazo zilinifanya nikaona kufaulu ni jambo rahisi pia natoa notes za olevel na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa nyamongoro INA v2 sebule selfu nyumba mpya kabisa inajitegema kila kitu zimo nyumba mbili ndani ya fence kila moja inajitegemea fence yake inapangishwa million tatu kwa mwaka...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Kwa wale ambao mpo maeneo hayo au mna watu walio katika maeneo hayo naomba mnielekeze bei ya flat screen size 24 za aina yoyote zinazopatikana maeneo hayo ili nifanye maamzi ya kununua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba mwenye uwezo wa ku supply gunia 100 ya alizeti arusha aliyenayo anijulishe bei yangu ni 60000tsh kwa gunia .
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hiyo ndio March Price list ya viwanja vya Dodoma. Wahi Sasa ujipatie kiwanja kwa bei ya punguzo. Kwa mawasiliano simu au whatsap namba 0621399079. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
2K Views
HABARI NJEMA KWA WATU WOTE. Habari Yako Ndugu,,, Nimatumaini Yangu Kuwa Unaendelea vyema😀. Leo Tumekuja na ujumbe mzuri kabisa kwa Wale wote ambao wanamalengo makubwa katika Biashara Kwa kutumia...
1 Reactions
0 Replies
663 Views
Habari za weekend, tunauza suruali Aina ya kadeti Zina ubora wa juu, na zinadumu kwa Hali hiyo muda mrefu. Bei ni elfu 23 kwa Rejareja Offer ipo kwa mteja ukinunua kuanzia tatu utauziwa kwa elfu...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
ii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za muda huu, Natafuta mtu mwenye hoteli au mgahawa ambaye ntakua nampelekea kuku wa kienyeji kutoka singida vijijini kwa wingi Mfano, naweza kua nampelekea kuku 50 Kwa wiki au kuku 100...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…