Nunua vitabu kwa bei nafuu

Nunua vitabu kwa bei nafuu

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
657
Reaction score
1,605
Best in town leo naweletea Fursa adimu soma vitabu uongeze maarifa kwa kutambua umuhimu wa kusoma vitabu ili tuweze kupambana na adui ujinga leo tumepuguza bei za vitabu vyetu ambapo unaweza kujipatia vitabu mbalimbali.

Kama vile vitabu vya hadithi Sheria, Saikolojia, hesabu, lugha, siasa, uchumi, computer, bailojia, Kenya, Phizikia, na vitabu vya dini kwa bei rafiki Sana. Tunapatika DSM lakini na mikoani tunatuma. Karibuni Sana wadau wa vitabu
Mawasiliano ni 0715621701.

IMG_20200406_073315_713.jpg
 
Your google location please.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom