Nauza maziwa fresh

Nauza maziwa fresh

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
4,195
Reaction score
2,689
Habari za asubuhi wana jf?

Nauza maziwa fresh. Lita 5 shilingi 10,000. Ikiwa zaidi ya lita 10 tunaweza kupunguza bei.
Maziwa ni mazuri, hatuchanganyi maji hata kidogo na ng'ombe wanatibiwa na kulishwa vizuri.

Kwa wakazi wa Bunju maana nami nipo Bunju A hivyo nakuletea hadi mlangoni kwako, kwa mawasiliano nipigie kwa namba 0712504985.

Karibuni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom