Kiwanja chenye hati kinahitajika ,ukubwa uwe square metre 1000 au zaidi.
Maeneo
Goba au Bunju
mwenye nacho anichek kwa;
mawasiliano: 0765 494 548
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Katika kipindi hiki cha janga la virusi vya CORONA (covid-19) tunafahamu sote mambo mengi yanaenda kidigitali(mtandaoni) zaidi hivyo utahitaji post zako ziwe za kuvutia kwa wafuasi na wateja wako...
Habari wadau,
Kuna kitanda cha mbao hapa chenye ukubwa wa 4× 6 kinauzwa Tsh. 80,000/= ila maongezi yapo bei inapungua tu usiogope.
Hata kama upo mkoani unaweza ukatumiwa na ukakipata
Natafuta muuzaji wa jumla wa zabibu kavu pamoja na almond (ulozi) aliye Zanzibar. kwa sasa ninapata kwa mtu anayenunua toka huko sasa nataka nimtoe mtu wa kati niagizie moja kwa moja. PM kama...
kitanda .
Ukubwa 5*6
Kipya hakijapakwa polish/rangi na chaga zake bado hazijaunganishwa .
godoro
Comfy inch 6 limetumika kidogo <mwezi mmoja
Bei ya vyote 150k (laki na nusu)
napatikana dar...
Je ungependa kujenga kwa utaratibu wa ramani, basi usisite kunialika kuja site kuchukua vipimo na kukuandalia mchoro wa ramani kwa vipimo na kujua gharama za majenzi pia.
Kama bango linavyojieleza, piece 100,000 za mask zinazoziba pua na mdomo zinahitajika haraka. Kama unazo nicheki PM biashara ifanyike.
Niko Dar es salaam
Msaada wadau,
Natafuta magunia (viloba) kwa ajili ya kuwekea mazao. Hasa yale ya 100kg kwa bei ya jumla.
Mwenye kujua bei. Navitaka hapa kwetu Sumbawanga.
Asanteni.
Tuma Meseji 0620 484 081...
Sijawahi kununua friji, haya mambo ya corona sasa yananilazimisha. Naomba maelekezo, aina zipi za friji ni nzuri na naweza kupata mojawapo duka gani Kariakoo kwa bei nafuu? TZS ngapi?
Habari za jioni mabibi na mabwana. Matumaini yangu mko salama salmin.
Ninaleta kwenu hizi dumbbells zangu ninazoziuza.
Sifa:
1. Ni pair moja ya dumbbells branded
2. Ni adjustable, unaweza...
Habari wakuu
Nauza kiwanja kipo chanika buyuni block 25
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 316 Kimepimwa kina hati
Urefu:30
Upana:10.5
Bei 2m maelewano
Nb gharama za serikal ya mtaa unalipa wewe...
NYUMBA INAUZWA.
MAELEZO
Ni nyumba mbili ndani ya compound moja
Moja ina vyumba vitatu na nyingine vyumba viwili.
Pia zina:
-sitting
-dining
-public toilet
UKUBWA
sqm400
DOCUMENTS
Leseni ya...
Nipo Mkoani Arusha. Nahitaji Barakoa kwa ajili ya watumishi wa kampuni yetu. Wapi nitazipata? Nimemtuma kijana, amesema maduka yote makubwa hakuna barakoa.
Msaada tafadhali
Sent using Jamii...
Nauza kitanda cha mbao na godoro lake vyote kwa pamoja kwa 160,000
Kitanda ni mbao na ukubwa wake ni 5*6
Location: Riverside, Ubungo
Contacts: 0693855083
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji kiwanja maeneo ya ununio, bahari beach, mbweni JKT au goba(karibu na barabara)
kiwanja kiwe kinaanzia Sqm 1000
budget ni 40m
kiwanja kiwe kina hati
pm kama unacho