House4Rent Nyumba za Apartment nzuri kwa bei nafuu zitakuwa tayari hivi karibuni!

ica

Member
Mar 31, 2020
7
5
Nyumba bora za ghorofani, zinavutia na za kisasa. Nyumba zipo eneo tulivu la mbezi juu, wapangaji wanne wa kwanza watapangishwa katika nyumba ambazo ukiwa sebuleni au katika varanda unatazama bahari ya hindi.

Nyumba zitakua tayari kwa ajili ya kupangishwa ndani ya siku 30. Maandalizi ya kuzikamilisha yanandelea vizuri sana. Tuma maombi yako ili zitakapokua tayari uwe wa kwanza kuziona na kupanga. Zikikamilika tutakutujulisha uje kuziona.

Nyumba zinamuonekano wa kuvutia wa ndani na nje zikiwa na vyumba viwili vya kulala (Chumba kimoja cha kawaida na chumba kingine kinajitoshereza), sebule kubwa, jiko la kisasa na mahala pa kula. Kila nyumba ina viyoyozi vyumbani na sebuleni. Pia vyumba vyote vina makabati ya ukutani,

Kila nyumba ina parking 2. Nyumba zinawalinzi masaa 24.
Kodi nyumba leo kwa pesa taslimu.

Kodi kwa mwezi TZS 750, 000/=

Piga au whatsapp 0755312233
PHOTO-2020-05-15-13-04-31_1.jpg

PHOTO-2020-05-15-13-04-30.jpg

PHOTO-2020-05-15-13-04-31.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom