Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau wenzangu Wana jf, nauza Mchele mzuri ulionyooka grade 1 Tsh 1400 kwa kg 1na grade 2 tsh 1200kwa kg1, pia chenga mchele zipo tsh 500 kwa kg 1, pumba laini za kulishia mifugo zipo, gunia tsh...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu nauza king'amuzi changu aina star times ,,, Kina channel 7 za bure kama vile CLOUDS TV,EATV, ITV n.k Bei ni 55000/= Dar es salaam 0762693368
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mzoefu na anafanya kazi kwa ubora wa hali ya juu sana . yupo dar es salaam lakin anakufata popote naambatanisha na picha chache ya baadhi ya kazi zake
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Biashara ya kupanga nyumba na kupangisha nyumba imeendelea kuwa na changamoto kadri siku zinavyoenda. Nyakisasa Empire Ltd imejaribu kuja na mbinu ambayo itapunguza kero kwa wapangaji na wenye...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Mnara UNAUZWA: Kwa Matumizi Ya Radio/Mitandao. Mita 60 Price: Milioni 25 Location: Dsm DM If interested.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
SAMSUNG A2 core Used condition Phone n box 150,000/= Call/whatsapp: 0715767420
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu wa humu.Poleni na majukumu ya kila leo! Nina ndugu anashida kidogo nikasema humu kuna watu wengi na wenye uelewa wa vitu vingi sitokosa jibu sahihi la kumpa(naamini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jf, nauza ving'amuzi vipya vya dstv full set kwa bei ya elfu 89,000 tu popote ulipo dar es salaam utaletewa kisha utafungiwa na pia kifurushi cha mwezi 1 bure karibu tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
INA RAM 2 GB STORAGE 32 GB INTERNAL 16 GB KUNA MEMORY CARD NDANI OG YENYE 16 GB LOC DAR PRCE 130,000 0678096545
0 Reactions
41 Replies
2K Views
eneo la ukubwa wa ekari tano.kila eka moja milioni 4.mtaa wa msangani . huduma zote za kijamii zipo . eneo zuri kwa makazi,shule.ufugaji na kilimo kwa mawasiliano zaidi pm
7 Reactions
84 Replies
13K Views
Wakuu naomba anaefahamu wapi kwa Dar naweza kupata viatu vya kimasai kwa bei nafuu na iwe bei ya jumla, nahitaji kununua
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Hello, Nauza pochi(handbags za mtumba nzurii sana) Pochi zetu ni nzuri na bei nafuu sana Karibuni sana! Napatikana DAR ES SALAAM 0626520830
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Natafuta Toyota vitz nzuri. New model au hata old model ambayo iko vizuri. Gari isiwe na vipengele/ubovu (nitafilisika/mke wangu atanilaumu) Bajeti 4,000,000 hadi 5,000,000 Napatikana Kinondoni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza mashine ndogo za kufulia. Very portable na znatumia umeme wa 220V tu. Ina uzito 4.5Kgs. Mashine ina sehemu ya kuingizia maji na kutolea maji kama picha elekezi hapo chini lakini pia kwa...
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Habari wakuu, Nahitaji mtaalamu wa kutengeneza android app kama unaweza njoo inbox tufanye kazi Shukrani.
2 Reactions
1 Replies
539 Views
Fursa ya Kazi Jengo la makazi la urefu wa ghorofa zaidi ya 10 linatafuta fundi mwenye sifa zifuatazo 1. Awe fundi umeme mwenye ujuzi, ufundi na ujuzi kwenye maswala ya mifumo ya maji safi na maji...
0 Reactions
3 Replies
684 Views
Wanajamvi ninashida ya kununua friji kwaajili ya biashara ndogo ndogo za juice na barafu, maana Tanzania ya viwanda hii bila kujiajiri maisha hayaendi, nilikua naomba kufahamishwa na wajuzi wa...
0 Reactions
15 Replies
17K Views
Wana jukwaa nipo chalinze,naomba mwenye ufahamu na bei ya cherahan cha kawaida,mashine za kudarizi vitambaa na mashuka pamoja na mashine zingine zinazohusiana na ushonaji,lakin pia yanakopatika...
1 Reactions
7 Replies
20K Views
Nahitaji Spacio kwa milioni saba (7,000,000). Vigezo; 1) Iwe imetembea chini ya KM 100,000 2) Isiwe na shida ya aina yoyote kiufundi wala namna nyingine. 3) Full AC 4) Ukinitafuta hakikisha...
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Back
Top Bottom