NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLE
MAELEZO
Ni nyumba ya ghorofa moja yenye vyumba vinne(4) vya kulala vyote vina choo ndani.
Pia ina:
-sebule
-dinning
-jiko
-store
-Parking kubwa sana
-hall for...
Kama ulipata kusikia kuwa Binadamu ana mkia? Ni watu wachache sana waliopata kuuona; mimi nikiwa mmoja wao. Awali sikuyaanmini macho yangu pale nilipowaona watu wa ajabu. Mili yao ilikuwa...
Unapoweka switch on kwenye gari lako ni vizuri ukahakikisha angalau taa hizi zifuatazo zinawaka kwenye dashboard ya gari lako. Taa hizo ni
1. Check engine
2. Oil pressure
3. Airbag
4. Coolant...
Habar wakuu.....
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza....nipo Mwanza nina uhitaji wa frame sehemu yeyote yenye mzunguko mzuri wa watu....au hata biashara inayouzwa.
Ninaomba wakuu mniseidie...
Alminium _tz
--------------------
Tatizo lolote kuhusu Alminium
-Windows/Madilisa
-Door/Milango
-Office partition/kugawa ofisi
-Cabinet /Makabat
Tunafanya kwa kiwango cha juu. Tunampa ushauli...
Kama unahitaji chumba maeneo tajwa hapa chini nichek nikusaidie,ila masharti na vigezo kuzingatiwa.
Kwanza dalali anakula 10,000/= kwa kukuomyesha vyumba na kabla ya kukupeleka advance...
Purchase real and Novelty Passports,id cards,visas,drivers license ,Permits for all countries
Are you trying to change your nationality ? do you need worked papers ? do you want to travel ? do...
Wapi naweza kupaya mashine ya kutotoleshea mayai/vifaranga inayotumia umeme na gesi? Itapendeza kama wahusika ni wajasiliamali wa kitanzania.
======
Pitia uzi huu
Tunauza incubator, mashine ya...
Wadau naombeni msaada, natafuta air fresher nzuri ya kuweka chumbani na chooni...Siyo ya kuspray..nataka ambayo unaweka tu bila kuwa unaspray mara kwa mara...Nitajie majina tu mdau
Asanteni sana
Nipo songea natafuta laptop ya Bei rahisi iwe na uwezo wowote Ila isiwe mbovu Wala isiwe imechoka Sana hata ikiwa min
Bei yangu tsh 100000
Kama unayo nichek 0713861567
Kabati la nguo mninga. Futi 5*6 kabati ni mninga wa Zaman. Halina tatizo lolote linauzwa kwa sababu ya shida imejitokeza.
Bei sh. 550.000(lina milango 3 na droo 3)
Kuna maduka kama laptop city, Discount kubwa, zawadi computers na maduka kibao ya wasomali wanauzaga hizi laptops kwa bei chee kidogo.
Niliwatafuta wanipe connction ila waligoma, Sikuwa na nia ya...
Habari wakuu, nina taaluma kutengeneza hesabu na gharama za materials na idadi ya materials, mfano kutambua idadi ya matofali,mabati, misumari, mbao za roof structure na ceiling blandering/gypsum...
Cal.+255 717-671240
Navunja Bei ... Hii kwasasa ni milion 28
Nyumba. Inauzwa ipo boko msikit upande wajuu Ina vyumba vitatu Master Moja sebule jiko choo uwanja una QM 400 pamepimw hati bado...
Ofa ofa ofa
T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu, bei karibu na bure,
Kuanzia 5-10 bei ni Tsh 6900
. 11-30 bei ni Tsh 6600
. 31 + bei ni Tsh 6400
Mkoani tunatuma...
Ni nzima kabisa inapiga kazi fresh kbsa
Huduma ya kukufungia ni bure kwa atakaehitaji
Nipo Dodoma mjini ila popote ulipo naweza kukufikia
Location: Dodoma
Bei : 3 Millions
Phone number: 0625803444
Wakuu Habari,
Ninashamba langu Naliuza Ekari 67 na kila eka ni Tsh.3m ,miti aina ya milingoti ina miaka mitano, ambayo baada ya miaka miwili utauza, Nimepatwa na shida inayohitaji fedha...