Umepata kushuhudia binadamu mwenye mkia?

Umepata kushuhudia binadamu mwenye mkia?

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
4,195
Reaction score
2,689
Kama ulipata kusikia kuwa Binadamu ana mkia? Ni watu wachache sana waliopata kuuona; mimi nikiwa mmoja wao. Awali sikuyaanmini macho yangu pale nilipowaona watu wa ajabu. Mili yao ilikuwa inatisha, ngozi ikiogofya. Fikiria hata mgonjwa wa UKIMWI aliye taabani sana, bado kamwe hutaweza mfananisha na miili ya baadhi ya wafungwa tuliokutana nao katika gereza hilo.

Walinyauka, walisinyaa na kufanya miili yao ifikie kiwango hicho cha kutisha. Baadhi walionekana kama mifupa iliyounganishwa na aina fulani ya ngozi! Ni pale walipovua mashati ndipo niliweza kuona mkia wa binadamu!

Jipatie kitabu cha Kiguu na Njia kwa shilingi 15,000 za Kitanzania. Kitabu hiki kinapatikana Mwanza, Arusha na Dar es salaam kwa sasa. Kwa yeyote mwenye uhitaji anitafute kwa namba 0712504986.

Kuweza kufahamu vitabu vingine tulivyonavyo, tafadhali, tazama link hapo chini. Shukrani na karibuni sana.

http://www.heko.ltd
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom