Mbilikimo Mfupi
JF-Expert Member
- Nov 11, 2015
- 981
- 1,225
Wapi naweza kupaya mashine ya kutotoleshea mayai/vifaranga inayotumia umeme na gesi? Itapendeza kama wahusika ni wajasiliamali wa kitanzania.
======
Pitia uzi huu
Tunauza incubator, mashine ya kutotoleshea vifaranga mashine ya kuangalia vifaranga
======
Pitia uzi huu
Tunauza incubator, mashine ya kutotoleshea vifaranga mashine ya kuangalia vifaranga