kush moker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 579
- 367
Wakuu nataka kuchukua mzigo huo apo,
Je iko vizuri kwa waliowahi kuzitumia??
Je iko vizuri kwa waliowahi kuzitumia??
Sawa mkuu, , inch 40 mfuko hauruhusuHisense ni bora sana pamoja na LG, ila mkuu kama mfuko unaruhusu chukua hata 40'' na kuendelea, hako kachumbani na wife
Sent using Jamii Forums mobile app
Salio ndio tatizoHiyo Tv ni nzuri japo ni ndogo. ongeza hela chukua 40’’
Vp mkuu pichA iko vizuri?Ni nzuri hata Mimi natumia Hisense nchi 32
Vp mkuu pichA iko vizuri?