Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wanaoishi katika Jiji la Mwanza naomba kuuziwa kiwanja katika maeneo niliyoyataja hapo juu. Kama unacho njoo in box tuwasiliane.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiwanja kipo Buhongwa kilomita 1.6 kutoka barabara kuu ya lami Mwanza-Shinyanga. Kiwanja kimeshapimwa na ukubwa wa kiwanja ni 20m*27m. Huduma zote za kijamii kama maji, umeme zipo pembezoni mwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Pata shamba lililopimwa Viwanja kwenye uso wa ring road Dodoma maeneo ya msalato karibu na uwanja mpya wa ndege , Kitelela, na mahoma heka imepimwa Viwanja tayari inasubiria hati tu bei mil 5 kila...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Name: GENERATOR SOLUTION Location:Tabata Dar es salaam Kwa Huduma Bora na Uhakika. Karibu kwa Matatizo yoyote ya Generator lako. ●●Kama unauza au unataka kununua njoo ofisini kwetu. Pia tunafanya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
SUZUKI ARIEL Year made: 2004 Engine power: 1490 cc, Petrol engine Seats: 5 Doors: 4 Bima ipo mpaka Nov 2021 Card ya Gari ipo Location Dar es salaam, Tegeta Bei 4.1 milion Punguzo kidogo...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
I phone 6s with free usb 64gb Colour:spacegrey Battery health:100 Fingerprint:✅ Price:300,000 negotiable Location:magomenii Contacts:0628954957/0712654515 Note:haina tatizo lolote
1 Reactions
1 Replies
621 Views
Natafuta nyumba ya kupanga, Morocco, Upanga, mikocheni , iwe na vyumba viwili au kimoja , jiko na sebule. Budget yangu ni 200,000
2 Reactions
8 Replies
2K Views
I'm sales consultant of platinum credit ldt, tunatoa mikopo kwa dhamana ya kadi yako ya gari. Kwa wakazi wa dar es salaam. MASHARTI KWA MFANYAKAZI *hati ya mihahara miezi mitatu *kopi ya...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Binafsi najihusisha na kutoa ushauri wa kibiashara pamoja na huduma zingine za kiuhasibu na kodi jijini Dar es Salaam pamoja na huduma zinginezo. Katika kutekeleza mpangokazi...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Salaam wananzengo!! Anahitajika mtaalam wa kujitolea kuandika maandiko ya kibiashara ya kikundi mwenye uzoefu na ujuzi kuandika vitu kama vile business proposal, business plan, company profile...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Wakuu natafuta nyumba ya kupanga, mkataba nakokaa umeisha. Hali ya uchumi imeyumba hivyo nimeona sitaweza kulipa pesa nayolipa hapa, hivyo natafuta nyumba ya nusu bei ya hapa. Iwe na...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
....
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Nauza Eneo kubwa lenye sqm 1600. Eneo lina kisima cha mradi wa kusambaza maji, walivuta maji mpaka sasa ni zaidi ya watu 32. Pia kuna nyumba ambayo haijakamilika, yenye vyumba vinne vya kulala...
4 Reactions
40 Replies
8K Views
Ni wapi naweza fungiwa system ya music kwa gari lako yenye ubora wa hali ya juu? Kama kuna mwenye upeo na hiyo sehemu naomba niwasiliane naye ..naomba unipe namba yako
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Je Unahitaji Nyumba ya Kupanga buza Chumba master na Sebule bei 150,000 tu 0652759293
0 Reactions
7 Replies
963 Views
habarini wapendwa wa JF, mimi natafuta chupa za plastic kwaajili ya kufanya packaging ya product zangu za mafuta ya kupaka, naomba kujua ni kiwanda gani wanaweza kunitengenezea chupa...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Natafuta friji ya kugandishia barafu ice meka ya lita 150 naomba kwa mwenye nayo au kujua mtu alionayo anisaidie mawasiliano yangu 0759117175.
1 Reactions
4 Replies
687 Views
NYUMBA INAUZWA MILLION TISINI (90) NYUMBA IPO MBAGALA_CHAMANZI. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA HII: 0769160000 Nyumba ina vyumba vinne chumba kimoja master ina sittingroom diningroom jiko store...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu natafuta mabati ambayo ni used kwajili ya site fence ya ujenzi, pia ukiwa na Playwood(MARINE BOARD) na material zingine za ujenzi Please tuwasiliane kwa namba 0766943145
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…