Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

SONY BRAVIA SMART ANDROID TV 55 INCHES CLEAN CONDITION FREE DELIVERY 1,350,000 0713799522
1 Reactions
4 Replies
958 Views
Nauza Adsense pamoja na website yake ina $17 nicheki whatsapp +255765505717 bei tunaelewana
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nokia 2.2 for sale Internal storage 16gb Ram 2gb 4g and 3g support Android 10 Camera 13mp front real great and 5mp Battery 12 hours nakuendelea Haina tatizo lolote clean Mawasiliano 0784606710...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa majina naitwa abeli kikimba, napatikana mkoa wa Iringa, mimi ni mwandishi na napenda kuandika sana na nimeandika vitabu saba ila bado ni soft copy, naomba mnijuze kama kuna sehemu iringa...
2 Reactions
4 Replies
900 Views
Tunatengeneza Computer aina zote Motherboard Repair (Chip Level ). Wasiliana nasi sasa popote ulipo tutakufikia tutakuhudumia.Ushauri kwetu ni Bure... Pia tunahuduma ya On-call Support kwa msaada...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
bei 250000. Ipo katika hali nzuri earphone zake za apple
0 Reactions
9 Replies
2K Views
abari wadau, Nahitaji keyboard ya laptop dell studio 1735 ambayo ni nzima na inafanya kazi key zote.Angalia picha na kama unayo njoo 0763969066
1 Reactions
4 Replies
876 Views
Nawasalimu katika jina la bwana, nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kimara, Mbezi Ubungo. iwe na vyumba viwil vya kulala iwe inajitegemea maji na umeme umbali kutoka main road isiwe above 3km...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwenye mazingira ya kawaida offer yangu 60k Kama kipo tuwasiliane 0682202114 Chap chap
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunazo GODORO mpya kabisa na usafiri bureee mpaka mlangoni kwako kampuni GSM TUNAUZA MAGODORO POPOTE YANAKUFIKIA BURE KABISA TUPIGIE 0763542515 DAR inchi 8 5*6 unalipata kwa 170000 tu Inchi 6 5*6...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuanzie hapa: Jaribu kutembelea website ya NECTA, halafu angalia matokeo ya wale waliofanya Mitihani ya kidato cha nne kama Private Candidates mfano Resitters ama QT Angalia matokeo ya vituo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Na steshenari yangu ipo maeneo ya Mbezi Beach afrikana nafanya huduma ya mobile stationery nakufata mpaka sehem ulipo huduma nazo toa ni kama vile. Natoa mikataba yote ya mauziano mikataka ya...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi Meza zile za plastiki huwa ni bei gani kwa mpya zile zinazotumika kwenye migahawa au kwenye Bar. NB:Nipo nje ya mji na zinahitajika, kwa wanaojua mnijibu tafadhali.
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Je, biashara yako inahangaika kupata wateja wa kutosha Online? ...Je, unafanya matangazo ya sponsored lakini hayakuletei wateja kama unavyotaka? Unaishia kupata likes tu Je,unatamani kweli...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana Zengo, Rafilki yangu anaitaji piki piki boxer ya kununua. Yupo Dar es salaam. Piki piki iwe namba B au C Nahitaji mbili 125 au 150 Ofa yangu ni 850000 kwa kila moja karibuni PM...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kabati ni ndefu sana. -Ni ya kisasa zile zisizokuwa na mlango,unaweza kudisplay chochote kuanzia mikoba,nguo na vitu vyako vidogo vidogo. Ina droo kubwa mno ya kuhifadhia unachokipenda -Ni ndefu...
1 Reactions
3 Replies
960 Views
Wanajamvi nina wazo la kufungua kiwanda cha maji ya kunywa (kama kilimanjaro,uhai,sayona). Mwenye ufahamu juu ya initial cost na mitambo ya kutengeneza na ku purify maji and the whole process juu...
0 Reactions
94 Replies
36K Views
Haina haja ya kuingia madukani kutafuta kifaa kimoja kimoja, kwa mtaji wako njoo uchukue saluni nzima ukaanze kazi..... Hapa kuna. 1. Kiti cha kunyolea na kusubiria 2. Kabati ndogo ya vifaa 3...
3 Reactions
28 Replies
6K Views
Wandugu karibuni, wale wapweke na wanataka kuunganishwa na wenza wao (watarajiwa) tuonane kesho tare. 3/12/2016 kwenye NYAMA CHOMA FESTIVAL, Banda letu utaliona ukiingia geti kuu, mkono wa KUSHOTO.
0 Reactions
2 Replies
762 Views
Wakuu habari zenu. Kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna nyumba inauzwa hapa Kinondoni. Hii ni nyumba ya ndugu yangu. Sababu ya kuiuza ni Kuna mambo yake anahitaji kuyaweka sawa ambayo ikienda...
5 Reactions
74 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…