Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Fencing wire zinauza, Kama utahitaji na hizo chuma zake Bei itapoa kidogo. Fensi imetumika miezi 4, ilinunuliwa mwezi wa Kwanza Kisha ikazungushiwa kiwanja ambacho hakikuwa ramsi kwa mhusika...
1 Reactions
38 Replies
9K Views
Wakuu wasalam Nataka kuuza nguo za mtumba hasa zakike mfano magauni, top na jinsi lakin sijajua machimbo ya nguo haya yapo wapi, Kama hapa dar basi niambiwe wapi naweza kupata belo kali kwa bei...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kufahamu kwa mtu aliyewahi kuaguza kitu china na akatumia njia ya "Aliexpress Standard Shipping" au njia yoyote isiyokuwa na tracking. Atajuaje kama mzigo wake umefika?
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Nina Mashine mbili za CarWash (Umeme &Petrol), Pamoja na Tank la kiboko (1000ltrs) vyote naviuza. Tank lina Koki kabisa, Bei ni kama ifuatavyo; Machine ya Umeme TSh 400,000 Mashine ya Petrol TSh...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Bravofashioncode tunashona na kudesign nguo za aina mbali mbali na matukio yote kama harusi sendoff, engagement, vipaimara UNIFORM za wanafunzi,makazini na kweny mahoteli kwa gharama nafuu sana...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza vifaa vya salon ya kike vifaa vyangu ni original na havijatumika muda mrefu draya 2 na blow dryer location ni arusha mjini ,maongezi yapo Karibuni
2 Reactions
14 Replies
10K Views
Almost New 200,000 Tsh. Unic uc26 complete full boxed. Key Features Brightness: 1200 Lumens (International) equivalent to 120 Lumens (US) Native Resolution : 800*480P | Contrast: 800:1 | Image...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
nina hizo gari nazitoa kwa 1000$ nimepoteza funguo.kwahiyo wazee wa kukata naomba tuwasiliane.gar zote zipo beitbridge.south africa... karibuni p.m....tukifika vizuri nakufanyia usafiri mpaka...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Pikipiki aina ya fekon namba B inauzwa. Tsh laki 8 na nusu Fekon namba A laki 7 na nusu. Document zote halali za umiliki zipo. Dar, Mbagala Tuma sms ya kawaida tufanye biashara 0744033555
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Mawasiliano : 0684158633
1 Reactions
2 Replies
455 Views
Nimeulizia kwa maduka mbalimbali bei ya Printer ya Epson L382 mpya ila majibu yake yameniweka njia panda maana nimejibiwa bei zifuatazo katika maduka matatu niliyoulizia. 1. TSH 420,000 2. TSH...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Mimi ni Civil Technian nimejiajiri hapa mjini, kwa nature ya kazi yangu ninakuwa na mizunguko ya kukagua kazi zangu au kuwa na sites visit. Nahitaji gari dogo la kunisaidia kwenye mizunguko yangu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Shukrani nyingi kwa wana JF, kwa kuwa msaada katika nyanja mbalimbali. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo eleza, naomba msaada namna ya kupata dawa inayoitwa TREVO. Nina mgonjwa tumeona...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilimsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiwaambia watumishi wa Hazina kwamba fedha zinaliwa sana kwenye halmashauri kwa kutumia utaratibu wa sasa wa " Fosi Akaunti" Jana nikamsikia waziri wa...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
SOLD
2 Reactions
13 Replies
3K Views
NYUMBA NA ENEO LAKE LAUZWA... TSh25,000,000 Dar es Salaam Nyumba inapatikana TEGETA WAZO ENEO LA UWANJA WA PANGA... Zipo nyumba mbili katika eneo moja... Kubwa ni ya familia vyumba 3 na sebule...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Gari Toyota RAUM , ya 1999 inauzwa. Rangi: Zambarau, Milango: 5, Mileage: Km 128,000, Engine size : 1490cc, Airbag: 2 , Automatic transmission, Fuel: Petrol, BEI: 6,000,000- Milioni 6 tu...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari, Naitwa Daud Benjamin mhitimu Chuo Kikuu IFM Dar es Salaam mnamo mwaka 2019. Nina degree ya Social Protection. Kwa sasa ninaishi Mbeya. Dar es salaam nilihama kutokana na gharama za maisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauza laptop ina shida ya HDD na touchpad Bei 100,000/= fixed Ram 2gb Screen inchi 13 Cpu 2.1ghz Bettery 3hrs Model ACER Whatsapp 255659749219
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu kama kuna anaejua bei ya kodi ya zile apartments za Pale nyuma ya jengo a umoja wa vijana wa CCM naomba atujuze. Kama kuna any other additional usefull informations about zile apartments...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…