Kelela
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 203
- 338
Nimeulizia kwa maduka mbalimbali bei ya Printer ya Epson L382 mpya ila majibu yake yameniweka njia panda maana nimejibiwa bei zifuatazo katika maduka matatu niliyoulizia.
1. TSH 420,000
2. TSH 450,000
3. TSH 339,000
Je mbona kuna tofauti kubwa kutoka 450,000 hadi 339,000.
Au kuna fake na Original?
Naomba ufafanuzi.
1. TSH 420,000
2. TSH 450,000
3. TSH 339,000
Je mbona kuna tofauti kubwa kutoka 450,000 hadi 339,000.
Au kuna fake na Original?
Naomba ufafanuzi.