Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari, natafuta ving'amuzi vya internet ambavyo vinasaidia kufanya network ya simu kuwa ya kasi zaidi. Eneo nililopo hakuna network kabisa, yaani network ni E kwa kila mtandao wa kijamii...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Ni kampuni dogo linalojihusisha Sana na shughuli nzima ya maswala ya uchapishaji pia tunafanya delivering mpaka mkoani je wewe unahitaji vitabu au nakala mbalimbali jibu ni machapisho Agent...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Nina mteja wangu anataka eneo la kujenga kiwanda cha bamboo Iringa, mwenye eneo Iringa hasa ambalo lipo karibu na bamboo itakua vizuri sana, au dalali yoyote aliyopo Iringa tuwasiliane. 0693959469
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini zenu wanajamvi nahitaji gari ya kukodi kwa safari ya siku tano kutokea Kahama kwenda Katavi kisha Sumbawanga Mbeya na Iringa nakuja kutokezea Singida na kurudi. Gari ninayohitaji yenye...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Yenye ukubwa wa Stepler pin machine ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa urahisi. Inashona kama cherehani ya kawaida. [emoji832]Haitumii betri wala umeme [emoji832]Rahis kubeba...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Nauza haina tatizo la kiufundi. Ununio dar O748001009 Engine 2az. Full ac 9mil..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza nyumba Dodoma nkuhungu north, Ina master moja ,vyumba viwili vya wageni,jiko, choose cha public, stoo, choo cha nje na jiko la nje. Ipo karibu na barabara itayojengwa ya kupitisha magari ya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Karibu Empire singida fresh oil Mafuta halisi kutoka singida Lita 1 -6000 Lita 3- 18000 Lita 5- 25000 Mawasiliano 0743725255 0655031983 arnoldmacha@outlook.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wasalaam! Wakuu, naomba kujuzwa sehemu ninayoweza kupata mbegu za viazi lishe kwa mikoa ya kanda ya mashariki (Dar es salaam, Pwani au Morogoro). Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari! Mkulima Mwerevu Agrovet inawatangazia wakulima wote wa mboga mboga kuwa sasa wanazo mbegu nzuri za kisasa (Hybrid Seed) kwa ajili ya wakulima. Msimu wa kuandaa mashamba ndo huu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
akubwa habari Nauza mashine mtumba kutoka nje hazina shida yoyote ile njoo kariakoo dell lattitude d630 Ram 2gb hdd 250 nch 14 wide processor 2.0 ghz charge masaa 2 window 10 wifi bluetooth dvd...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
wakubwa habari, nauza mashine mtumba kutoka nje hazina shida yoyote ile njoo kariakoo dell lattitude d630 ram 2gb hdd 250 nch 14 wide processor 2.0 ghz charge masaa 2 window 10 wifi bluetooth...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Habari wakuu!! Natafuta chumba single maeneo ya Nkuhungu au Chang'ombe Extension. Bajeti yangu ni 50,000/=
0 Reactions
6 Replies
884 Views
Kwa yeyote anyeweza kusuply 1600 za amlinium ingot tuwasiliane Kwa number +256788282409. Sio lazima ziwepo hapa Tanzania. Hata ukiwa ukifaham kiwanda kilichopo nje. Karibu
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Habari za leo wakubwa, Ndugu yenu bado naendelea na kazi ile ile ya kudesign ramani mbalimbali. Leo nimekuja na hii design yangu ya kipekee ya nyumba ya vyumba vinne. Unaweza kujionea mwenyewe.
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu, nimebadilisha life style, sasa napenda kuangalia documentaries hivyo nataka kununua vifaa vya kisasa vya kielektroniki vyenye viwango vya kimataifa. Sasa nimeshauriwa kua kuna home theater...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Zakutumia umeme sh.2500,000,Zile ambazo hazitumii Umeme zinaanzia sh.270,000 hadi sh.450,000,Nipo Dar es salaam,Kariakoo Mashine ziko tayari unafika unalipia kisha unaondoka na mashine...
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Wakuu kwema Nahitaji toyota IST isiwe na tatizo lolote namba iwe C nakupanda juu, Bajeti yangu ni 5M Njoo chapa tufanye biashara. Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu, Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri. Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari...
8 Reactions
58 Replies
8K Views
Back
Top Bottom