drmaxmhozya
Member
- Aug 7, 2020
- 51
- 48
kuna tenda nimeipata ya tisheti za shule Sasa nahitaji kuelewa kiwanda cha kutengeneza matisheti kipo wapi ili ninunue kwa jumla nahitaji tisheti nyingi
Mawasiliano 0657709912
Mawasiliano 0657709912