Usalama wa gari lako uko mashakani

usalama kwanza

JF-Expert Member
Oct 3, 2012
386
157
Habari, Nikiwa kama mdau wa mambo ya usalama leo kuna jambo dogo nahitaji kushirikiana na kukumbushana katika nyakati hizi nanyi wamiliki wa vyombo vya usafiri na wadau wengine katika sekta ya usafirishaji.

Ni wa wazi kila mtu anaona kuwa hali ya kiuchumi imekuwa ngumu wale walio kwenye biashara ya usafirishaji biashara imeshuka na ukijumlisha mpango wa serikali wa kuhamisha makao makuu yawe Dodoma tusitarajie hali kutengemaa hivi punde.

Sasa basi kwetu sisi wenye magari na wafanyabiashara kwenye sekta ya uchukuzi tutaathirikia vipi. Magari yataendelea kuwapo lakini uwezo wa kuyahudumia utapungua hapa ikiwa ni pamoja na kununua spare za gari zitakapo haribika au kujaza mafuta kubadili matairi, hii itapelekea watu kupendelea vitu vya bei nafuu ili kuendelea kutumia magari yao hivyo tutegemee yafuatayo.

Mosi kuongezeka kwa wizi wa magari , yani haitakuwa ajabu kusikia jirani yako ameibiwa gari au spare ya gari na mbaya siku hizi gari zikiibiwa si rahisi kupatikana kuna tetesi kuwa gari huchinjwa na kuuzwa spare na hapo ndio vitapatikana vifaa kwa bei nafuu iwe injini, gearbox ,vioo ,taa, matairi na n.k . ( Gari imeibwa Muhimbili leo; Tafadhali toa taarifa )

Pili kuongezeka kwa wizi wa mafuta , hili litaathiri sana makampuni kwani madereva wengi watakuwa wananyonya mafuta kutoka kwenye magari ili kuwauzia watu binafsi ( Madereva wa magari ya serikali wanauza mafuta ya wizi Sinza karibu na kituo cha daladala simu 2000 )

Tatu kuongezeka kwa wizi wa vifaa vya magari na vitu vilivyomo ndani ya gari, yani haitakuwa jambo la ajabu umepaki gari lako au umeingia kwenye harusi au kununua vitu watu wakaiba side mirrors, taa , wiper na chochote kile watakachoweza kuiba. ( Wizi mpya kwa "spray ya kichina" Dar )

Nne kuongezeka safari zisizotakiwa , yani dereva utamwambia apeleke mzigo morogoro lakini akifika morogoro atakwambia gari limesumbua kumbe anapiga trip nyingine ili kuongeza kipato au utakuta gari ni la ofisi lakini likitoka watu watafanyia shughuli zao au kama ni school bus likipakiwa basi usiku watalitoa litakuwa daladala na mengineyo mengi

Sasa sitaki tu nikwambie ni matatizo gani utapata nataka nikupe na utatuzi wake

Unaweza kufunga tracking system yenye uwezo wa kukupa ripoti zote za gari lako kujua ni mahali gani lilipo , kama limewashwa au kuzimwa , ikiwa kuna wizi wa mafuta , kuguswa kwa gari , kufunguliwa kwa milango na kuzuia gari kufika sehemu usiyotaka

Na ripoti zote hizi utazipata kwa ujumbe wa simu . hivyo ni rahisi kujua ikiwa gari/vifaa katika gari lako vinaibiwa au kuna wizi wa mafuta

Gharama ya kufungiwa kifaa hiki ni 300,000/- hapa utatrack kupitia ujumbe mfupi wa maneno na hakuna gharama ya mwisho wa mwezi au utalipia 200,000 na gharama ya kila mwisho wa mwezi ni shilingi 15,000/- hapa utapata account maalumu kwa ajili ya kutrack kupitia mtandao wa internet na kwenye iphone au android application.

Karibu isecure ,
 
Karibu isecure , www.isecure.co.tz
0714890018

Sawa, lakini vitu vingine umeweka chumvi mno, kitu kingine bei huko juu sana kwa nini mtu asiagize China na kufunga mwenyewe wala huitaji utaalamu wowote kuvifunga.
 
nimeweka ukweli kwa kadiri ninavyojua , mambo ya kuongeza chumvi huwa sipendi
 
Duh, ninavyoogopa kuishi kama shetani, sijui itakuwaje lakini ndio nasubiria!
 
Hatari sana!! Nilijua promo hii!! Asante sana hapa kiki lazima upate;! Acha nifanye mpango niifungie tracking system vitz yangu!
 
Kifaa hicho kina uwezo wakukiseti pindi gari ikipata mshituko au kuguswa ipige alamu na ile ya kutoa taarifa bila kupiga alamu?.
 
Hilo linawezekana kabisa , kuwa utapata taarifa kupitia simu yako ya mkononi na alarm isipige kelele, kwa kifupi ni kuwa unao uwezo wa kuchagua kipi kisifanye kazi na kipi kifanye kazi.
 
kwa huduma bora za vifaa vya usalama vya kisasa kama electric fence, cctv camera, Automatic gates, car tracking systems, Intruder alarms, fire alarms , Access control system tupigie 0714890018 .
 
Habari, Nikiwa kama mdau wa mambo ya usalama leo kuna jambo dogo nahitaji kushirikiana na kukumbushana katika nyakati hizi nanyi wamiliki wa vyombo vya usafiri na wadau wengine katika sekta ya usafirishaji.

Ni wa wazi kila mtu anaona kuwa hali ya kiuchumi imekuwa ngumu wale walio kwenye biashara ya usafirishaji biashara imeshuka na ukijumlisha mpango wa serikali wa kuhamisha makao makuu yawe Dodoma tusitarajie hali kutengemaa hivi punde.

Sasa basi kwetu sisi wenye magari na wafanyabiashara kwenye sekta ya uchukuzi tutaathirikia vipi. Magari yataendelea kuwapo lakini uwezo wa kuyahudumia utapungua hapa ikiwa ni pamoja na kununua spare za gari zitakapo haribika au kujaza mafuta kubadili matairi, hii itapelekea watu kupendelea vitu vya bei nafuu ili kuendelea kutumia magari yao hivyo tutegemee yafuatayo.

Mosi kuongezeka kwa wizi wa magari , yani haitakuwa ajabu kusikia jirani yako ameibiwa gari au spare ya gari na mbaya siku hizi gari zikiibiwa si rahisi kupatikana kuna tetesi kuwa gari huchinjwa na kuuzwa spare na hapo ndio vitapatikana vifaa kwa bei nafuu iwe injini, gearbox ,vioo ,taa, matairi na n.k . ( Gari imeibwa Muhimbili leo; Tafadhali toa taarifa )

Pili kuongezeka kwa wizi wa mafuta , hili litaathiri sana makampuni kwani madereva wengi watakuwa wananyonya mafuta kutoka kwenye magari ili kuwauzia watu binafsi ( Madereva wa magari ya serikali wanauza mafuta ya wizi Sinza karibu na kituo cha daladala simu 2000 )

Tatu kuongezeka kwa wizi wa vifaa vya magari na vitu vilivyomo ndani ya gari, yani haitakuwa jambo la ajabu umepaki gari lako au umeingia kwenye harusi au kununua vitu watu wakaiba side mirrors, taa , wiper na chochote kile watakachoweza kuiba. ( Wizi mpya kwa "spray ya kichina" Dar )

Nne kuongezeka safari zisizotakiwa , yani dereva utamwambia apeleke mzigo morogoro lakini akifika morogoro atakwambia gari limesumbua kumbe anapiga trip nyingine ili kuongeza kipato au utakuta gari ni la ofisi lakini likitoka watu watafanyia shughuli zao au kama ni school bus likipakiwa basi usiku watalitoa litakuwa daladala na mengineyo mengi

Sasa sitaki tu nikwambie ni matatizo gani utapata nataka nikupe na utatuzi wake

Unaweza kufunga tracking system yenye uwezo wa kukupa ripoti zote za gari lako kujua ni mahali gani lilipo , kama limewashwa au kuzimwa , ikiwa kuna wizi wa mafuta , kuguswa kwa gari , kufunguliwa kwa milango na kuzuia gari kufika sehemu usiyotaka

Na ripoti zote hizi utazipata kwa ujumbe wa simu . hivyo ni rahisi kujua ikiwa gari/vifaa katika gari lako vinaibiwa au kuna wizi wa mafuta

Gharama ya kufungiwa kifaa hiki ni 300,000/- hapa utatrack kupitia ujumbe mfupi wa maneno na hakuna gharama ya mwisho wa mwezi au utalipia 200,000 na gharama ya kila mwisho wa mwezi ni shilingi 15,000/- hapa utapata account maalumu kwa ajili ya kutrack kupitia mtandao wa internet na kwenye iphone au android application.

Karibu isecure , www.isecure.co.tz
0714890018
Kumbe tangazo lla biashara lilikuwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom