Weka hapa muhtasari wa kikao cha wana ndugu kilicho kuruhusu kuuza hilo shambaShamba ni eka moja maeneo ya meresini limepakana na mto wona. Maji mwaka mzima. Bei mil 45 maongezi yako. Namba 0735757595
Million 45 kitalimwa kitu gani ili iweze kurudisha gharama za ununuzi wa Hilo shambaShamba ni eka moja maeneo ya meresini limepakana na mto wona. Maji mwaka mzima. Bei mil 45 maongezi yako. Namba 0735757595
Mkuu hiyo bei mbona chee sana hasa kwa hiyo location. Kujibu swali lako unaweza kupanda Parachichi tena limepakana na mto baada ya miaka mitano pesa yako imerudi na faida kemkem.Million 45 kitalimwa kitu gani ili iweze kurudisha gharama za ununuzi wa Hilo shamba
Haha dah wachaga mpo vizuriWeka hapa muhtasari wa kikao cha wana ndugu kilicho kuruhusu kuuza hilo shamba
"Urgent"Isue argent sana na hela inahitajika haraka