Inaitajika gari ndogo ya kukodisha IST, Noah, Runx, Spacio n.k
Shughuli za kiofisi. Ofisi ipo magomeni.
Malipo kwa kila week.
Mkataba wa mienzi mitatu hadi sita.
Mafuta na service za gari ni...
Chumba kimoja, Choo cha nje.
------------------------
Maji ya dawasa, Umeme Luku yakuchangia, Uzio na usalama Upo.
------------------------
Bei Tshs 50,000 Kwa Mwezi
Kodi ya Miezi 6...
Husika na kichwa hapo juu Mimi mdau wa zana za kilimo ninauza tractor aina new Holland HP 95 IPO vizur kabisa ( mpya) ninapatikana mbeya
Bei ml 35 pamoja na jembe lake disc 4
Sent using Jamii...
Chumba na sebule, Choo cha nje.
Maji ya dawasa, Umeme Luku wawili, Maegesho ya gari ipo, Uzio na usalama Upo.
Bei Tshs 100,000 Kwa Mwezi
Kodi ya Miezi 6
Wasiliana nasi: 0686648630 | 0716442950
Wafugaji wengi hasa kwenye ufugaji wa kuku iwe kutaga au wa nyama changamoto kuu zipo mbili magonjwa na kuibiwa kuku wako hata kama idadi uliifahamu,
Sababu kuu ni kuwa control vijana na hata...
Shamba linauza,lipo chalinze pwani
Lina ukubwa wa heka 40 na kila heka moja inauzwa 1,500,000
Lipo umbali wa km6 kutoka morogoro road na huduma ya umeme ipo
📞 0719805851
habari,
Naomba kujua wapi nitapata dagaa wa chumvi waliokatwa vichwa maarufu kama dagaa wa nyama kwa ajili ya biashara. Wapi nitapata kwa bei nzuri na mi nkauze nipate vihela.
Eneo lipo vigwanza njia ya kwenda bandari kavu kwala,zipo eka mbili,Kila eka moja milioni tatu,mita chache kutoka barabara ya kwenda bandarini,linafaa kwa makazi,kuweka godown kwa ajili ya mizigo...
Nauza vioo vya laptop vipo vinne
Vipo katika hali nzuri ni slim mkanda mkubwa inch 15.6
Location Mwanza
Bei kwa kila kimoja 50,000/- kwa vyote vinne 200,000/-
Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; 160 gb hdd, 2GB ram, screen size inch 20, CPU na speaker zimo ndani...
Wakuu Habari,
Wapi naweza pata duka linalouza vile vitabu vikubwa vya kuandikia Risiti za mkono kwa hapa Dar?.
Nataka kuanza biashara ndogo nahitaji hivi vitabu kwa ajili ya Risiti na kumbukumbu...
Nauza scooter aina ya honda Model
Honda Click 125Cc. Bado ina hali nzuri mnoo imepasuka taa ya mbele tu. Bei 1,500,000 (maongezi yapo) ipo dar mwananyamala kwa maelezo zaidi piga namba hii 0783150130
kama uzi unavyojieleza nauza samaki mbichi kutoka nyumba ya Mungu zinafaa kwa matumizi ya nyumbani na biashara
Samaki zinatofautiana size kuna size zinazofaa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani...