Wadau tractor aina ya new holland inauzwa

Wadau tractor aina ya new holland inauzwa

sir charito

Member
Joined
May 14, 2019
Posts
58
Reaction score
25
Husika na kichwa hapo juu Mimi mdau wa zana za kilimo ninauza tractor aina new Holland HP 95 IPO vizur kabisa ( mpya) ninapatikana mbeya

Bei ml 35 pamoja na jembe lake disc 4

tapatalk_1585130254770.jpeg
IMG_20191030_081841_2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nimekwambi hutapata mteja
Huyo alichanganya alifikili HP 95 ndio bei hahaaaaaaa ,bei yako nzuli million 35 kwa hiyo utapata mteja sema picha hazitoshi alafu elezea sifa za mashine yako hadi uwezo wake na ulaji mafuta mfano ekeli moja inatumia Lita ngapi kwa udongo WA eneo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo alichanganya alifikili HP 95 ndio bei hahaaaaaaa ,bei yako nzuli million 35 kwa hiyo utapata mteja sema picha hazitoshi alafu elezea sifa za mashine yako hadi uwezo wake na ulaji mafuta mfano ekeli moja inatumia Lita ngapi kwa udongo WA eneo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikir mengine muhitaji akihitaji atapewa maelezo ya kutosha yeye binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom